Mara nyingi nimeona familia ambazo zina jiweza kiuchumi zinawalea watoto kama mayai vile kitu ambacho kwa mtazamo wangu nanona kama ni sio vizuri kwa sababu mtoto anakosa uelewa wa vitu vidogo...
DUA YA KUSOMA KAMA SWAUMU IMEKUZIDIA;
ya kabaab wal kuku,
yaa sambusa wal chatne,
innal chips wal mayai,
yaa chapati,
wal maji wal ice cream,
yaa juice bariiidi.
UKIMALIZA FANYA KAMA UNAPIGA...
Jamaa kaingia bar:
JAMAA:Mhudumu nipe
kinywaji na mpe kila mtu
humu ndani, maana
wakati napata kinywaji
lazima kila mtu apate
kinywaji. Haraka sana
mhudumu akagawa
vinywaji
JAMAA:Mhudumu...
Huyu anaitwa Asprin au Babu Asprin. Anayo hifadhi kubwa ya picha za aina mbalimbali na anazitumia kumtania mtu pale anapoona inafaa. Mimi ni mmoja wa victim wa utani huo pale nilipojitokeza...
A dog asks a cat "How come I've
never seen you cats making love
in public?" The cat replies, "Do you
want humans to steal our style
like they did yours?"
ATTENTION ATTENTION.
Usijione una zali kwa kushobokewa na mademu ktk kipindi hiki, kwan wataalamu wa mapenzi kipindi hiki wanakiita "HIGH SEASON" ambacho mademu weng huwashobokea washkaji, nia na...
Hivi ni kwanini watu wakinywa Bia au pombe nyingine zenye asili ya kizungu uwa wanapenda kuzungumza kingereza,lakini wale wenzangu wakinywa za kienyeji kama ulanzi,mnazi,turbo...wao ni kuzugumza...
Nimekuwa nikijiuliza lakini nakosa jibu! Hivi ni kwa nini marekani kunaitwa unyamwezini? Au mmarekani anaitwa mnyamwezi? Sometimes mtu akiwa mjanja mjanja anaitwa mnyamwezi? Kuna uhusiano gani hapo?
Kuna Jamaa alifiwa hivyo
akaenda kununua jeneza, baada
ya kulinunua akakodisha pick-uk
na akakaa nalo. Njiani kuelekea
msibani mvua ikanyesha sana so
jamaa akaingia ndani ya jeneza
kujikinga...
Katika maisha ,kuna wakati wa raha na uzuni pia,,kufiwa ni jambo ambalo hua linamuumiza kila mtu pindi yanapomkuta.
Je ni jambo gani lingine(ukiondoa kufiwa) ambalo limeshawahi kukuumiza saaaaaana...
Mwandishi alikwenda kumuhoji dereva moja mzee akiyekwisha staafu;
MWANDISHI: Mzee unaweza kunambia siku ambayo ulipata jambo la kutisha kuliko yote katika maisha yako ya udereva?
DEREVA: Ndio...
Mimi nakerwa mno na mtandao wa airtel kutuma message ya hongera kwa wateja na kwamba wamezawadiwa muda wa maongezi kumbe ni UONGO!
Kuna siku walinitumia sms kuwa wamenizawadia elfu kumi na tano...
Jamaa alipoamka asubuhi kutoka usingizini alijikuta kawekewa noti ya sh.5000 masaburini kwake ikiwa imekunjwa kama msokoto wa tumbaku au bangi.Jamaa hakuumiza kichwa chake,alichukua ile hela na...
Mlevi hahongi ela ila pombe hadi tosha yako, konda hahongi ela ila daladala yake utapanda bure, muuzaduka hahongi ela ila vitu vya dukani, bosi hahongi ela ila vyeo (e.g. jk), dereva wa taxi...
1. Kifo cha Mandela
2. Barcelona kushuka daraja
3. Mess akipelekwa Liverpool kwa mkopo
4. Taifa stars wakishinda WORLD CUP
5. DINO MOREA akiwa rais wa URT
6. Bibi kidude/Bi Cheka kuperform...
Sura sio roho wajameni! Kuna jirani yangu handsome kinoma lakini ni katili hakuna mfano, ana wivu sijapata kuona! Mke marufuku kutoka nje! Asubuhi anafagia uwanja anaenda zake viwanja akirudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.