JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mteja flani kaingia kwa 5 star hotel. MTEJA:"Pilau bei gani?" WAITER:"Tsh.2000 pamoja na kachumbari." MTEJA:"Kwani kachumbari ni bei gani?" WAITER:"Kachumbari ni bure." MTEJA:"Basi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Dah weekend hii jana nilimtembelea Erotica,ikabidi tusnap,weekend ilienda bomba sana na tulibadilishana mawazo.Ila im so happy kuonana naye.....Msijiulize sana kwanini siku hizi haonekani chitchat...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
naomba maoni yako.
0 Reactions
5 Replies
789 Views
Girl : I like ur teeth Boy : oh really? Girl : yes, they remind me of a song Boy : thanx so much! which song Girl : Black n Yellow
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je:wewe ni mtanzania au ni mtanganyika
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Boy:- Nice Dress..! Girl:- Thanks, Boy:- Nice Earing..!... Girl:- Thanks, Boy:- Nice Shoes..! Girl:-Thanks, Boy:- Nice Lipstick..! Girl:- (Irritated); Thanks Brother..! Boy:- But Still You...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
hebu tujuzane wapenda nini hasa huku mmu, toa sababu hasa kwanini wewe ni mwana mmu. mfano mimi ni mwana mmu kwasababu napenda tu ku do basi.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wapendwa wanachichat habari zenu? Leo ntafunguka na kujimwaga sana kuhusu mambo yaliyonitokea hivi karibuni. Mambo yalianza hapahapa chitchat niliporusha uzi huu...
8 Reactions
43 Replies
7K Views
Teja moja liliambiwa ili ale futari aanze kufunga na yeye, ili asikose futari alianza kufunga siku inayofuata, ilipofika saa nane hali ikawa mbaya kwa kuwa hajazoea hivyo akaamua apige simu...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Niambieni nijue kipi angalau ni ahueni ""
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mapenzi yangu na kwa ajili ya watz wenzangu wote natoa ahsante kwa mchina kwa kurahisisha maisha ya waafrika. Kama ni saa, simu, vyombo, bodaboda nk tusingeweza kumudu gharama zake kama...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
865 Views
nilimkuta huyu kiumbe kazima mbaya na wewe ulizima?
0 Reactions
0 Replies
578 Views
kwa mfano ; Neno Mambo>mambost Poa>poast. Tutapunguza kuingiliwa na wageni humu jamvini. Letenist habarist...?
0 Reactions
84 Replies
6K Views
Nina imani hamjambo! Mimi mzima! J3 njema yenye mafanikio lukuki!
4 Reactions
8 Replies
925 Views
Wanajamvist Leost Nimeamkast halist sist shwarist... Maombist nast duast zenust muhimust..
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamani hili swali najiuliza muda mrefu,hivyo naomba kujua msimamo wenu.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Eheee bakokaya mleho zogi tolomele ahenaha!!!
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Bila shaka mikataba feki ya malavidavi inasainiwa kwenye inbox zenu a.k.a pm ajabu watu wakishagundua mikataba ni ya kifisadi wanakwenda mahakamani MMU' ombi langu kuanzia sasa mikataba yote...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ama kweli watoto wa sasa hawana adabu kwa wazee wao. Ilitokea baba na mtoto kufarakana katika mazungumzo ambayo yalikuwa kama ifuatavyo: Baba: Mbona unafeli kila mtihani mwanangu? Mtoto:Sababu...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom