Tuabarishane aina ya vitafunwa vinavyo shika Nafasi ya kwanza,
Kama kawaida yangu mi nalipuka vipande vya mihogo...bagia pemben..paja la kuku na mtori...
Tupia vyako...
wapendwa natumai wote ni wazima wa afya napenda tuungane kumtakia maisha mema na yenye baraka binti yangu mpendwa anayefikisha miaka minne namtakia maisha mema na yenye baraka na mafanikio amen
Ndg kama mzazi wako wa kike anajibua kama hawa mabinti wa siku hizi hivi unaweza mwambia nini? Maana mimi huwa nakereka sana niwaonapo bibi mzima eti anajibua na huu mkorogo nakuwa kama papai...
Waungwan mwenzenu hivi karibuni navuta jiko' jiko la gas ya oryx sio jiko la mchina'ila honey moon nimepanga kwenda Mogadisho Somalia'nina ofa ya tiketi ya 2 za kunisindikiza kwa JF alietayari...
A professor stood before his philosophy class
and had some items in front of him.
When the class began, wordlessly, he picked
up a very large and empty mayonnaise jar
and proceeded to fill it...
1. Karibu watu wote huwa tunakunywa maziwa; hivi mtu wa kwanza alifikwa na nini hadi akaamua: "Ngoja nikamue chuchu za huyu ng'ombe na ninywe kitakachotoka"?
2. Mtu wa kwanza aliewaza: "Hiki kitu...
Baada ya mgomo kubatilishwa, walimu wanawalisha sumu Wanafunzi as plan B. sijui nani wa kulaumiwa, Jk na watu wako mpoo!, kazi ipo
Mwanafunzi:- Please madam gfsonwin, how many types of...
Jamaa kaamka asubuhi
sana Jumamosi, mvua
kubwa ikawa inanyesha,
pamoja na mkewe
kumsihi abaki kitandani
yeye akang'ang'ania
kuwa anaenda ofisini.
Akajitayarisha akatoka
nje akamwacha mkewe...
Mzee mmoja kutoka Tarime alikuwa ktk matembezi mjini Dar, ghafla alikutana na rafiki yake wa kitambo nae kutoka Tarime akiwa anaongozana na kijana wake, baada ya kusalimiana mzee wa Dar...
>yes Or> No.
hvyo vitufe vya Yes, No ndo vitakusaidia kujilinda na Rungu la invisibo...
\
>False statement...
>Rejected thread....
Hapa juu epuka kutumia hzo Maneno hapo juu.
Kanuni...
mambo wana chitchat, leo nimeota ndoto nzur kwel. kwamba kuna mtu kanipigia kwa namba ngeni (namba ambayo sijaisave kwny cm yangu) nikamuuliza wewe ni nani akaishia kunizingua tu mpaka nikashtuka...
Wana chit chat leo Mmevaaje? Mi nimetoka na suruali model chini chacha,juu shat la damu ya mzee na kofia ya mkeka,hapa my wife Arabela kaandaa mwenyewe..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.