mama alitoka job, kuingia tu ndan
mwanae mdogo kampokea na
kumwambia mamy subr
nikuammbie kitu, mama
akamkatisha, akamwambia
utaniambia baadae coz saa hz naenda kupika,
akiwa anapika
mtoto...
Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kwa miaka kadhaa lakini nimeamua kujiunga leo. Nimeona ni utamaduni mzuri kusalimia kwanza kabla sijachangia jambo lolote. Nawatakia siku njema.
MD
Wana Chit Chat niko vey serious juu ya hili..
wenye kufunga kwa maombi mnisaidie.Fungeni mniokoe na janga hili
Ni muda sasa nimekuwa nikiota na do na braza mmoja ...
Cha ajabu ingekuwa labda naota...
Leo Kwa haya Wanayo fanyiwa Walimu,Nasema kuna laana iko mbele ya viongozi ambayo imeweka giza katika mboni zao.,
nchi aliewapa tabu wakoloni mpaka kupata Uhuru alikuwa ni Mwalimu.,Heshima yao...
Naomba wana Jf mpendekeze nchi yetu iitwe jina gani, Mungano uko ukingoni kuvunjika, jina la Tanganyika doesnt
sound good na jina la Tanzania limepatikana kutokana na Muungano.
(Tanga means...
Yangu ilianza na kukutana na Rais wa CWT,Gratian Mkoba kwa mazungumzo mafupi. Baada ya hapo nikaelekea Mahakamani kabla ya kurejea ofisini na kisha nyumbani. Kiujumla leo yangu ilikuwa poa. Wewe...
Mimi nakumbuka mama mwenye nyumba alitoa amri ya wanaume wote wanatakiwa kukojoa wamechuchumaa kama wanawake,alichokuwaakifanya ukitoka chooni tu anakwenda kuangalia je? Umedosha japo tone la...
Leo nipo kwenye kipindi kutoa ushauri kwa wale wenye wapenzi,wake,mahawala,nyumba ndogo,vibuzi na kuendele mpaka ufundi wa Mechi...ntawaruhusu mchague na nyimbo...
Twende kazi
Jamani nakumbuka nilipokuwa mdogo kulikuwa na imani za ajabu ajabu 'streotypes' katika makabila mbalimbali sina uhakika kama bado zinaendelea..
Mfano tulikuwa tunaambiwa..ukikalia yale mafiga kwa...
mke alishindwa kuvumilia alipomuona mumewe ameinamia cheti cha ndoa yao kwa mda mrefu akaamua kumuuliza. Mke: mume wang mbona ni muda mref unangalia iko cheti. Mume: natafuta expire date...
mumekamuuliza mkewe: wewekutwa nzima waangalia kipindi cha mapishi,kupika kwenyewe hujui.:mkeakajibu: mbona usiku kucha waangalia movie za x na kunaanihiii hujui,nimekuliza?mimi...
Jamaa karudi home usiku wa manane.Moja kwa
moja akazama chumbani,akafunua blanketi,akaiona
miguu minne badala ya miwili aliyozoea.Jamaa
akafunika blanketi taaratibu,akachukua bonge la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.