mama alitoka job, kuingia tu ndan
mwanae mdogo kampokea na kumwambia mamy subr nikuammbie kitu, mama akamkatisha, akamwambia utaniambia baadae coz saa hz naenda
kupika,
akiwa anapika mtoto kaanza...
Mchaga na pesa ni noma;
Mtoto; Mama nimemuomba baba hela ya kusuka kaninyoa nywele!
Mama; Una bahati sana ungemuomba hela ya whitedent angekung'oa meno! :eek2:
Daaah! Maisha ya siku hizi bila mapenzi mbele hamna chochote. Haswa sisi vijana tunaendekeza sana mapenzi kuliko chochote kile. Kwa atkaye pinga kuhusu hli acoment na awe na vthbitsho tosha vya...
A river cuts the rock, not because of its power, but because it keeps going on... Remember never lose your hope... Defend and face the challenges to increase the courage, keep moving toward the...
Leo studio tutakuwa na Mwalimu Teacher gfsonwin mtamwuliza maswali nae atawajibu na kueleza kwanini wamegoma...maswali yabebe ujumbe wa kuwakomboa walimu.
karibu gfsonwin embu tuambie wewe ni...
Haya maisha tunayoishi leo nadhani yangekuwa matamu zaidi enzi za barua za kuandika kwa mkono na kisha kuzituma kwa posta.
Facebook sijui ingekuwaje?
Jf ingedhibitiwa na skrining ya shirika la...
Yule mke wa kada wa kile chama kinachojipambanua kwa alama ya umma na kijiko inasemekana kajifungua na baba halisi wa mtoto kamtembelea mwanae akitokea mjengoni, vipi hapo wanafanana au hawafanani
A man was going for a trip & the wife packed him clothes in a bag. When he was about to leave, the wife gave him a box of condoms and said, "honey take this maybe you might be tempted. "The...
Leo nikiwa chumbani nimewasikia mahaus gel wanasimuliana, eti mtoto akilia anamchoma na sindano ya kushonea kwenye utosi, nimesikitika sana, mtoto huyo sasa kama taahira.
Boyfriend: I heard you failed in English!
Girlfriend: Nonsense! Who TELLED you?
Boyfriend: You see you§ñ life! Even simple English, you cannot spoke! Okay, tell me whether the following adjectives...
Watu waliokuwa kwenye msiba walimshangaa mama aliyefiwa na mmewe,wakamwuliza,mama mbona we humlilii mme wako,watu wanalia we macho makavu sana,mama akawajibu....nye acheni tu,nikiaanza kulia...
Duh hii ni hatari ni hapa hapa Dar maeneo ya Kinondoni,picha limeanza nilikuwa na mdada mmoja ambae alikuwa nyumba yake kama kama kawaida yangu sikuwahi kumuona wala kusikia wala kuniambia kama...
HOW DO I LOOOOK!! DON'T BE SHy,PLEASE TELL ME EEEH!! WHAT??? AM LISTENING........................MMMH REALLY?
Shukrani zangu za dhati zikwende kwa mtarajiwa wangu platozoom sehemu yeyote aliko...
Haya wapendwa weekend ndo imekwisha niko broke mbaya naona hii ni dark Monday kwangu mwenye kuweza kuniwezesha kama dalllas or $ 75 tu ani Pm.Mlale unono
Toto tundu lilikuwa likisafiri na baba yake kwa treni daraja la 3, mara baada ya kuingia ndani ya behewa na kuketi, aliingia dada mmoja mzuri sana na kuketi ktk kiti kinachotazamana na toto tundu...
Ni kutoka kwa jamaa yangu mmoja, anauliza hivi:
Ivi ingekuwaje kama bao la tendo la ngono lingekuwa linatoa mlio kama wa bunduki? "Paaaa!" Nahisi tungekuwa viziwi dunia nzima kwa sababu usiku...
'Difenda' lililopaki hapa mbele ya Kituo Kidogo cha Polisi,Mlimani-UDSM limechoka. Mbele,kwa Dereva na maofisa wengine,pako nyang'anyang'a. Viti vyote vimeharibika. Afadhali hata nyuma kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.