Jamani wandugu wote yaani nimeboreka, nimechukiahadi naskia moyo unawasha. Please nisaidieni hii hali iniishe coz siipendi napenda kuwa happy and kucheka. Any one please release my sadness in...
PLEASE READ THE FOLLOWING INSTRUCTION CAREFULLY BEFORE YOU COMMENT:
Here is a game for you. Its called "THE LAST MAN STANDING". The last person to comment wins.
I give you a starting word. The...
Jamani wapenzi wa chit chat leo sina raha kabisa.
Naiona kama week end hii ni mbaya kwangu kwa kumkosa mwanangu ronn .Wajomba zake wote Eiyer, platozoom, Excellent, Mbimbinho, na aunt yake Smile...
Nipo safi....akili imetulia na inachaji, sina ugomvi na mtu ukiachilia mbali akina AMKtrina na Miss Bantu wanaonitaka otherwise am weeeeeeeeeell fine in my head. Mje tuzungumze lolote lile lenye...
ubabe unasaidiaga saa nyingine,unajiona unaonenewa lakini mwisho wa siku maendeleo yanaonekana,tatizo wabongo hatuwezi kuwa na uongozi wa kibabe kwani tunaoneana huruma na aibu sana
Kuna wavuta bangi wa3 walishea idea wasukume ukuta wa nyumba hadi ile nyumba isogee mbele zaid ya pale,mar moja wakavua mashati yao na kuweka pale chini na kuanza kusukuma ukuta,wamesukuma hadi...
Jamaa mmoja alipelekwa kwa wakwe zake na mchumba wake kwa maana ya kumtambulisha, alipofika jamaa akawa anatafuna Big G. Mkwe akamuuliza, "yaani wewe mbele ya wakwe zako unatafuna Big G?". Jamaa...
kati ya viatu ambvyo nilivifurahia ni Saa Nane utanikoma na Soksi za Punda milia,kwa wale wa siku mingi hapa wata taja Laisoni,pekosi na model suruali,na Music yao ya pumping...du...
Tupia wewe...
1. Si kweli kuwa Usalama wa Taifa hawakuhusika na utekaji na uteswaji wa Dr.Ulimboka.
2. Si kweli kuwa Zitto Kabwe hataki kitu ambacho hatakipata.
3. Si kweli kuwa Rais wa Zanzibar anauunga...
Kufuatia hivi majuzi (Kagame Cup)
Yule Mheshimiwa aitwae "Mnyama wa Msimbazi" John Boko wa Azam Kum'BOKOA mnyama bao za kutosha, na hivyo kumuondoa mnyama out of the route .
Napendekeza huyu...
BADILI TABIA
Ni matumaini yangu kwamba kwa wale ndugu zangu waislamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu salama kabisa.
Baada ya kupata nafuu naamini inshaallah wiki ijayo Jumamosi ya tarehe 28...
Wakuu maisha siku hizi yamekuwa tofauti ,kwani baadhi ya wanawake wameku nauwezo wakuendesha familia kuliko wanaume,na kuwafanya wanaume kuwa chini ,pia hata katika uongozi naona wanakuja juu...
Ninawasiwasi na maamuzi ya prf. Muhongo waziri wa nishati na madini,kwamba kuna wana siasa wanamtumia ili kujiimalisha kisiasa na mbio za uraisi sina uhakika na mawazo mgando yangu,mwenye uwezo wa...
Nilikuwa nafatilia humu ndani nikakuta thread moja...ila jamaa kwa lugha aliyoitumia nilikuwa sijamuelewa!!nikawana tafuta uhusiano na hiyo thread sikupata ....baadae sana kuirudia nikamsoma...
Mimi mzee wangu Kwa mara ya kwanza ananua baiskel aina ya lord master mwaka 1989 na kuanza kujifunza kwa kupitisha mguu pale katka ya frame na kusonga...
Tukumbushe na wewe...
Wakubwa mambo?
Ni hivi , pamesemwa
> Golikipa yuko kwenye goli lake .
Pakasemwa tena
> Kipa huyu keshafungwa goli moja.
Pakasemwa pia
> Goli la kaskazini halilali njaa !
Tatizo langu goli...
Jamani leo nilikuwa kwenye kikao na nikawa nimebanwa sana na mkojo. Ikabidi kwa kujikaza nikatoka nje huku nikijishikashika sehemu za siri na kufungua mlango uliokuwa unasumbua kufunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.