Majira ya jioni nimetulia kwenye liquor store ya mwanangu tunapata kinywaji mdogo mdogo.
Katikati ya story za mtaa, ghafla akatokea binti mmoja mzuri sana mrefu, maji ya kunde na hapo nyuma...
Mtu anayekula Bata ni mtu anayeishi Maisha yake bila kelele, anakula vizuri, Analala pazuri Na kipato chake ni constistence.
Lakini hizi wanazoziita Bata za vijana ni Anasa, haiwezekani ule Bata...
Mimi binafsi
Sijawahi kuvutiwa na mtandao wa twitter,instagram japo nina akaunt lakini sijui nimetumia lini mara ya mwisho
Sijawahi kuvutiwa na tattoo za aina yoyote
Sijawahi kuipenda timu ya...
Kama mada inavyojieleza hapo juu Kuna Mambo tunayaona, Kipindi cha nyuma hapo miaka ya 2000 kurudi huko Karne ya 20 si rahisi ukute mwanamke ameanika chupi nje lakini siku hizi ni kawaida Sana...
Imezoeleka kwamba wanawake pekee ndo wanaotakiwa kujipendezesha na Kung'aa. Wanaume wengi wanapenda kujikeep wasafi na wanapenda kung'aa kama Ladies ( I mean kuwa na ngozi nyororo) lakini hawajui...
Wajameni.
Wkt nakula bia mhudumu wa bar alinitolea mpya Leo.
Mimi. "Wewe dada lete Serengeti lite, na konyagi. Gras iwe ndefu tafadhali"
Mhudumu. - Huyo akaenda akaja na bia Serengeti baridi...
Ikiwa weekend ndio imeanza mi nimeona ni share hii mada, maana mi nnapo kunywa pombe hasa pale nnapifikisha chupa ya 12 hua naanza kuchukua namba za simu za warembo wanaokatiza mbele ya macho...
Awali ya yote nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kukamilisha ndoto zangu.
Pili napenda kuwashukuru wadau wakubwa humu jukwaani kwa support kubwa ya mawazo tangu...
Habari za mausiku,
Mmelala sio, mkiamka mtaikuta.
Jana nilianza safari kutokea Tukuyu kwenda Tanga. Tukuyu, Busokelo ndani ndani huko. Ipo changamoto ya usafiri ya hatari. Na kama unavyojua...
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.
Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia...
We angalia tu around you. Watu wenye akili wanatengwa na jamii. Inawaona wanajisikia au wajeuri au wana majidai. Sababu kwa asilimia 90 jamii ina wendawazimu wengi kuliko wenye akili.
Mi najiona...