JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
wakuuuu habarini sana.... Lengo la uzi huu ni kuwataja watu waliozidi kwa chai humu. kama tujuavyo mitandaoni ni sehemu ambayo watu mbalimbali hukutana kutoka sehem tofauti tofauti na kati ya...
10 Reactions
85 Replies
5K Views
Wachawi japo tunawakemea vikali sana, lakini mimi nashukuru uwepo wao kwa kiwango kikubwa! kusingekuwepo uchawi, sijuwi hali ingekuwaje?! wote tunajua Mungu yupo lakini si wote wanaomwamini &...
1 Reactions
10 Replies
733 Views
Tulikuwa tunafanya mazoezi mchangani Ziwa Tanganyika, Ahmad kucheki time ni saa moja na nusu usiku ila kweupeeee kama mchana. Muda huo kule kwetu Unguja ni giza totoro. Kigoma ni Burundi.
6 Reactions
25 Replies
2K Views
I am planning to buy a private jet. Who's owning one in the country, Diamond or a famous political dude?:D
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Hali vipi wana familia kutoka jf..Mambo yanaenda au sio basi tunashukuru mimi km mimi sisherehekei sana sikukuu hii ya mwaka mpya hivyo sijapika pilau wala kula kitimoto wala pombe nimepika tu...
2 Reactions
12 Replies
718 Views
Kama mwanachama wa vijana wa hovyo naomba kuwasilisha ombi kwa wakatisha tiketi, wawe wanatupanga kwa kuzingatia Gender Balance. Safari zinakuwa ndefu sana ukiangalia back bencherz ni Girls tupu...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Naantombe Mushi,General Galadudu
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna siku asubuhi, nilisikia mtoto alimuliza mama yake "Mama tunaenda wapi, mbona hatujaoga?" Wewe umesikia/kuona nini?
10 Reactions
12 Replies
2K Views
Napenda kuwashukuru wote ambao tulikua wote mwaka 2022 na sasa ni mwaka 2023. [emoji120]
0 Reactions
3 Replies
343 Views
Hivi ni kipi kifanyacho January iwe ya Moto hivi ni sikukuu zilizougana au shule na muhula mpya wa masomo???
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Hawa wachina wakija kwenye miradi kama barabara,ujenzi na mambo mengine.mbwa wanapotea sana tena walio nona ndio dili. Na vimbwa vyangu kama sungura kila siku jamaa ananifata nimuuzie na huyu...
2 Reactions
10 Replies
663 Views
Za jioni Hao watu nimewainulia mikono hii location ipo muhimbili unacho fanya unalipia 20000 kama kiingilio tu af unakula mpka unasaza. Hii special kwa wala bata yaani kama wewe unapenda nyama...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wajuba tuliowahi kwenda kwa nabii flora Sala Sala tujuane. Kuna wakati katika harakati za kiimani nikajikuta kwa huyu dada pale Sala sale Mbezi, wakati huo watu kumwona unapanga foleni kubwa!
4 Reactions
48 Replies
3K Views
NMB
Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai...
1 Reactions
7 Replies
496 Views
Yes asilimia mia sijakosea…lakini unamakando kando mengi(nayajua )na yananiumiza. Hapi nu yia
15 Reactions
234 Replies
4K Views
Hii nini jamani? Kuna nini? Mbona ni vitisho tu usiku ndotoni? Ndoto gani hizi jamani?
0 Reactions
8 Replies
480 Views
Ukipanda bodaboda halafu ukaona dereva ana story wewe jisemehe kwa nguvu "HII SERIKALI YETU" Kisha kaa kimya. Hapo ndo utajua kuwa mmbongo mpe kichwa tu habari anayo.
0 Reactions
2 Replies
457 Views
Nipo nchi za watu, Leo kila nikijaribu kuomba outing na watoto wa kizungu zinagonga mwamba!..what a bad day😩 kuishi mbali na home ni shida sana.
10 Reactions
76 Replies
2K Views
Kwenye maisha bhana ukweli ni kwamba hakuna mtu anayejua script au scene ya maisha ya mtu. Tuheshimiane siku ziende.
2 Reactions
4 Replies
387 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…