JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna yule dogo aliyeandika bongo flavour kwenye paper yake ya form IV. Dogo anajaribu kujieleza studio lakini jamaa(Tale) anampinga bila point kabisa. Yani anakera kweli. (kipindi cha njia panda)
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauuliza bubu anatumia mbinu gani kumwambia kipofu kwamba mke wake anachukuliwa na kiziwi?
0 Reactions
4 Replies
855 Views
Usiku mmoja majira ya saa mbili hivi washkaji wawili walikua wanatoka kwenye kibarua chao cha kuchimba kisima wanaelekea makwao, walikua wamevuta bangi kabla hawajatoka eneo la kazi, sasa wakiwa...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Wadau ndo nimerudi toka MSITU wa pande jioni hii,nimechoka mbaya,BAISKELI yangu imepata pancha sita, Preta kanitosa kisa baiskeli badala ya V6, sijui alitegemea ningepata wapi na mimi sio Fisadi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninasibishe misemo hii miwili na ninachokisemea hapa. "Tembea uyaone" na "Hujafa hujaumbika" Hii ni kauli iliyobeba malalamiko lukuki kutoka kwa Baba (mzazi) kwenda kwa kijana wake wa kiume :-...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
kunajamaa wawili WALOKOLE walimuwania dem mmoja kwa nyakati tofauti basi dem akawapanga wa kwanza akaambiwa uje saa mbili usiku nitakuwa bado naongea na wazazi wangu na wa pili uje saa tatu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
hey jamani naomba mnisaidie memory card yangu ina vitu na inaonyesha ina vitu lkn nikiifungua inaonyesha ipo empyt tatito nini HELP plz
0 Reactions
4 Replies
907 Views
Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa wafuatao,1] alikwenda dukani kuuliza blooth,wa2 aliyeye kulahotel vyombo akaosha .wa3alinuua chostic akaitia kwenye mkoba akachukua zawadi kijijini.wa4 aliye...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Dakika nilizoomba zigeuzeni katika sekunde bwana muache kuniibia.. Je naongelea mtandao gani? #msinishambulie, ni mtazamo 2
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tajiri mmoja wa Kimarekani alienda likizo kutalii mjini Rome, na alitamani sana kumwona Papa.Alisimama katika mlolongo mrefu wa watu akiwa na suti yake moja ya bei mbaya mno akiamini kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi everybody ! SInce am a new member on Jamii FORUMS i xpect alot from u dudes..! 100%
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtoto: eti babaa kwani we na mama mnataka muanze shule? Baba: hapana kwan vip mwanangu? Mtoto: mbona jana usiku nilisikia unamuuliza mama "vip twende la pili" Baba:!?speechless
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau..mimi nimekua mgeni kwa mda mrf bila kua na account ila kwa sasa nimeamua kua mdau naombeni malezi yenu na ninapokosea mnikosoe na sio kunitukana kwa kua watu wengine ni wakali...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Taja neno refu la kiswahili, kichaga, nyamwezi, sukuma, hehe, nyakyusa...n.k Neno langu ni NG'WANAKANUNDO
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya videmu, utasikia i like shoping, je unajua kusaka chapa zako mwenyewe au unategemea nonino?
0 Reactions
0 Replies
783 Views
drunk stumbles along a baptismal service on Sunday afternoon down by the river. He proceeds to walk down into the water and stand next to the Preacher. The minister turns and notices the old...
0 Reactions
3 Replies
966 Views
A man walks into a bar with his dog and orders two glasses of whiskey. He proposes a toast and both he and his dog empty their glasses. The girl behind the bar is surprised and asks: 'Can your dog...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
I hv just started my field here but I'm soo lonely .What should I do.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
This married couple was sitting in a fine restaurant when the wife looks over at a nearby table and sees a man in a drunken stupor. The husband asks "I notice you've been watching that man for...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Mpolisi karudi home usiku, ili asimuamashe mkewe hakuwasha taa ya chumbani kwake akaaanza kuvua unifom zake, ghafla mkewe akamwambia kwa sauti ya usingizi, MKE: Mpenzi usiwashe taa kichwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom