JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa mmoja akiwa kwenye daladala tumbo likamjaa gesi akataka kujamba lkn akaogopa, baada ya kusikia kuna mziki akaamua kuachia vishuzi kulingana na bit ya mziki akijua hakuna anaesikia. Heh...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wabongo bana Nimeshakuambia usifungue na bado umefungua. Basi siandiki tena vitu vyangu vya siri nitaandika kwenye diary yangu. Tuwe wastaarabu jamani..
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Huyu mtoto ana sauti ya ukweli na ya kimapozi .. lingekuwa embe ningekula hadi majani .. mashalaaah!!!! ningepata pics zake dah!ingekuwa poa sana
0 Reactions
82 Replies
10K Views
Unafikiria nini basi?Ni BIG G imemgandia katika Sketi ya Jeans aliyovaa!!
0 Reactions
3 Replies
885 Views
What piece of advice would you give yourself? For me: Usimuoe fulani.....soma kwa juhudi sana,...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku moja dereva alikuwa kawapakia wamakonde kama 35 kwenye lori wakielekea kijiji fulani chenye shida kubwa ya usafiri.Mara lile lori likiwa safarini likasimamishwa na polisi.Polisi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nipo hapa mbele yangu amesimama mwanamke mmoja hivi....basi anajsogeza sogeza nyuma ilmradi tu amenigusa maeneo sensitive....
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Jamaa karudi toka safari kwa kuwa alikuwa na hamu sana alipofika nyumbani akaelekea mpaka chumbani kwake...mara akashtuka kukuta watu wawili wamelala(mwanamke na mwanaume) na sio mmoja kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
sikia hili toto! mama hivi unajua housegeli ni malaika AMA: kwanini unasema hivyo TOTO:basi jana nìmemuona akiwa uchi anaongea na yesu anasema ooh yesu wangu ooh yesu wangu yaani kama si baba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
leo nipo kwenye zinduna live talk show....host wangu nasikia yupo honeymoon ... be free nitupieni swali lolote nipo hapa full time hadi saa kumi na mbili jioni
1 Reactions
72 Replies
5K Views
wanajamii niko ndani ya kigoma ila mpweke sana hebu ajitokeze binti mmoja wa kunipa company ani pm tafadhali walah ataenjoy
0 Reactions
22 Replies
2K Views
kwa mlioko dar na miko jilani niko huku mabwepande na watafuta walisafirishaji wa twiga zetu na wanyama wengine, ni pamoja na walihifadhi mabilion huko uswiss nina imani kwa jinsi jeshi letu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waheshimiwa habari zenyu. Mie niko safari natokea Mz to Dar. Nimepanda bac moja (jina tunalihifadhi). Kinachonishangaza humt ndani wamejaa si kawaida yaani mpaka wengine wamesimama. Cha ajabu kila...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Karibuni lunch jamani.....
0 Reactions
13 Replies
1K Views
1. Hili ni jembe la zamani lisiloisha makali 2. Kama shilingi miambili ya kupanda kivuko nyingi piga mbizi 3. kama gamba linakubana livue uvae gwanda 4. Si kila anayewajibishwa ametenda kosa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kesi iko mahakama ya mwanzo Ufipani. Kesi yenyewe ni kwamba mama mmoja amemshitaki mwenzie kwa kumtukana, eti, matusi ya nguoni, hadharani. kama ilivyo ada Hakimu anataka kurekodi matusi yenyewe...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbongo mmoja akiwa london uingereza anaingia katika restaurant na anaagiza chipsi kuku. Kuku wenyewe wa kizungu laini kama nini. Anakula chipsi na ktutafuna kuku pamoja na mifupa yake. Jirani yake...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
This is life You regularly text your friend,they do not reply you but if you text them from new number,everyone will reply that"who are you???" people have time for unknown but not for...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Darling tunaenda sinema saa ngapi leo? Mbili mbili So, tunabeba soda ngapi? Mbili mbili Na John tuonampitia leo? Aaah mbili mbili Password yako ya ATM ya CBA ni ngapi? ................
0 Reactions
8 Replies
1K Views
imagine kama kungekuwa na uwezekano wa jogoo kutolewa na kurudishwa, kuazimishwa au hata kuuzwa.. ingekuwaje?
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom