JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
chewing gums They should be banned. I hate them, what's the point in chewing gum? you look stupid when you chew...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ila 2po pamoja wakali.
1 Reactions
19 Replies
1K Views
katika muda wa masaa 24 binadamu amejaaliwa kupata walau masaa machache ambayio huwa peke yake...katika muda huu kuna watu hutumia kusali, wengine kumeditate nk...ukiwa kama binadamu ni mambio...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamaa amekaa na mzungu kwenye banda la mihogo ya kukaanga wakiwa wanakula ghafla jamaa muhogo ukamkwama na maji anayo yule mzungu, weeee hapo sasa..!! Jamaa akaanza ''ZE.. ZEE.. CASAVA IZ STANDING...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Familia moja walimpekeka mtoto wao marekani kusoma,yule kijama alipomaliza shule kwabahati akapata kazi kule kwahiyo akaendelea kuishi kule kwamiaka mingi akiwa anaongea nawazazi wake ktk simu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kuna jamaa huko chindalu vijijini walimzomea simba mpaka akafa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilipigwa ban wakati nipo kwenye mchakato wa kutafuta mke Loveconnect, wee, mbona harakati zote zilisimama! Maumivu yake usiombe kusikilizia. Afadhali haikuwa life ban.
0 Reactions
4 Replies
898 Views
TUCHEZE GAME INAITWA....Last man standing!! MASHARTI ……...!! 1. Hakuna matusi! 2. Unaandika sentens kwa kuanzana neno la mwisho la mchangiaji aliyepita...mfa no "Mama anapika" kama ww ndiye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kuja huku
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Msela kaingia lupango, kufika tu wahuni wakamkaribisha mwali mwali mwali akaona hapa ataolewa mtu leo, wakamuuliza kosa alilofanya akajibu ameua watu wengi sana,jioni akaja kuwekewa dhamana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shemeji yangu hapa nyumbani (as long as bado naishi kwa shikamoo hapa mjini) amejifungua mtoto wa kisichana majuzi kati... Dah, sasa na kibaridi hiki yeye aoga maji ya moto deile, na mimi...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Mjamzito: dokta mtoto hachezi tumboni! Dokta: meza mpira na filimbi na ukiona bado hachezi meza kadi nyekundu ili atoke kabisa.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Life is too short to wake up with regrets. So love the people who treat you right. Love the ones who don't because you can. Believe everthing happens for a reason. If you get a second chance...
1 Reactions
4 Replies
851 Views
Hapa chini ya Jua misiba iko aina nyingi. Mf. Kufa, kuunguliwa nyumba, mafuriko, ukamenjaa n.k Msiba niliyokutana nao leo ni pale nilipofika kwenye mji mmoja (nyumba) na kukuta :- > Binti...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
MTOTO WA KIKE NA MAMA YAKE. MTOTO: mama wahuni wa pale mwembeni wamekataa kuniangulia embe, et wamesema nipande mwenyewe. MAMA: hawana lolote nia yao walitaka kukuchungulia chupi!!. MTOTO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
"Yesterday, scientists revealed that beer contains small traces of female hormones. To prove their theory, the scientists fed 100 men 12 pints of beer and observed that 100% of them gained weight...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
A man walks into a bar one night. He goes up to the bar and asks for a beer. "Certainly, sir, that'll be 10 shillings." "TEN SHILLINGS!" exclaimed the guy, the barman replied "Yes." So the...
1 Reactions
0 Replies
801 Views
Mwalimu: Taja wanyama watano wa porini. Denti: Tembo watatu na Simba wawili.
7 Reactions
32 Replies
5K Views
salaaam wakuu. natumaini wote hamjambo. kwa wewe ambaye ndio unajiandaa kutoka uende viwanja,kwa wewe ambaye tayari ushaanza kujilia bata viwanja fla zamaaaani,kwa wale ambao wapo nyumbani na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwali katika zurura yangu mtandaoni nikakumbana umekuwa featured huku: My black woman: Women4Africa award 2012 is around the corner! MashaAllah!
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Back
Top Bottom