Sadaka huanza nyumbani nami naanza humu kunyumba JF!
Dada zangu nina salamu kutoka kwa jamaa kutoka Amerika ya kusini. Msishangae! Nilikuwa Balozi wenu wa kutangaza sifa njema moja ya wanadada wa...
nasty ninaumbe kwa wale mafataki au makunguru au madege yasioliwa kuwa sitishiki na magari yeenu judgement kaja na baiskeli nikamridh haya we unaejifanya wataka kuja na hummer pole weee coz u dont...
> Unakuta Nyumba ina choo na bafu, lakini unamkuta mtu anaoga chooni ! Ukimuuliza whaay hakupi msingi wa sababu, aakh sipendi.
> Mgeni aidha mshkaji jamaa anakutembelea mida ya karibia kulala...
Inapotokea ajali ya binadamu kufa kifo cha kuzama majini , iwe Baharini, Ziwani , Bwawani whatever , na maiti kuelea majini.
Basi kanuni ya ulalo (ueleaji) wa maiti hua ni tofauti baina ya maiti...
Tajiri mmoja wa Kimarekani alienda likizo kutalii mjini Rome, na alitamani sana kumwona Papa.Alisimama katika mlolongo mrefu wa watu akiwa na suti yake moja ya bei mbaya mno akiamini kuwa Papa...
Jamaa kaingia hotelini ili ale halafu ana sh 3000 tu.
akaagiza msosi wa sh 9000,matunda sh 2000,na kinywaji sh 2000.
Alipomaliza kula akaletewa bill yake ilikuwa sh 13,000.
Jamaa akagoma eti hana...
Mlevi anarudi nyumbani usiku wa manane huku anawaza leo atafanyaje ili mke afungue mlango bila kumgombeza,maana siku zote akichelewa anapigiwa kelele.
Akagonga mlango halafu mke akaja kufungua...
Jamaa mmoja amwambia jirani yake hvi..!
Jamaa: Dah jirani leo siku ya tatu jicho linancheza cjui tatzo litakua nn..?
Jirani:Sijui tatzo la jicho kucheza ila siku yakicheza ****** niambie..!
Je...
Huu ni mkasa wa kweli umemtokea ndugu yangu
Nilikutana na binti mmoja ambaye alikuwa akiishi kwa shemeji yake (mume wa dada yake) ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu sana. Nikampenda sana binti...
Baba: Unamjua Anna Makinda mwanangu?
Mtoto: Hapana Baba
Baba: Pumbavu sana, kuwa makini na habari za kijamii haswa kufatilia Bunge
Mtoto: Baba unamjua Godfrey..?
Baba: Simjui
Mtoto: Na wewe...
Bwana harusi matata aliyeoa mke machachari na mrembo, walipofika nyumbani Bwana harusi alitoa kanuni zake za maisha yao mapya:
"Nitarudi nyumbani muda nitakao,nahitaji kupewa ninachotaka kutoka...
Habari,
Ninataka kutuma pm lakini kila nikituma inakuja msg hii, please complete both the subject and message fields.
Naomba mnielekeze ninakua nimekosea wapi?
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.