jamani wadau naona wabantu sisi hii mitandao ya kijamii hususani facebook tunaitumia isivyo kwa mfano mtu kafiwa badala ya kumpa pole mtu ana LIKE inakuja kweli? dah!
While doing the vasectomy, Bill's doctor slipped and cut off one of his testicles. In an effort to avoid a malpractice lawsuit, he replaced Bill's missing ball with an onion.Two weeks later, Bill...
Nakumbuka enzi hizo napoa house moja na msela wangu Mhaya, ilikua balaa..yaani jamaa akinunua maziwa ya mtindi au juice hamalizi yote anaacha kidogo halafu anaweka juu ya kabati la TV au meza ya...
Nimegundua siku za hivi karibuni kama nimeanza kubadilika hivi so nimeamua kufanya maamuzi magumu kama ifuatavyo,
Ntajikita zaidi kwenye kutoa maneno yenye busara na ushauri wa kina kwenye mambo...
leo asubuhi nimetua zanzibar, wenyeji nipokeeni. niambieni wapi nijirushe baada ya mishemishe zangu, pia niambieni mtandao gani wa simu uko poa, maana naona voda zero, tigo zero, zantel yenyewe...
Basi moja lilipata ajali likatumbukia kwenye mto.Basi katika jitihada za kujiokoa jamaa mmoja akafanikiwa kutoka nje ya mto mara akaanza kuvua shati na suruali na kurudi tena kwenye maji watu...
Wakuu heshima zenu. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni member ninayependa kujifunza kwa hiyo naomba yeyote mwenye kujua anieleze nini maana ya neno "arachuga" maana nimekua nikiona...
Sijui ni simu yangu au network au nn..but niko mikoani huku and napata shida sana kuaccess jf..nawamiss sana ila nimetuma salamu zangu kwenu kupitia beibe nasty hope mmezipata.
Now nipo...
Tusaidiane hivi hii ingekuwaje hapo mjengoni?
Je ingeweza kusadia kupeleka maji huko Namanyere?
Na kwa nini waende hawa tu?
Hivi huyu aliyetaka kupeleka hawa akina mama kwa style hii ni wa chama...
Kulikuwapo na watoto wawili KISA na NATO.
Siku moja NATO alikuwa amenunua kitu chake kinaitwa RAWE; na akawa ajidai nacho kwa KISA kama ifuatavyo.
NATO: Kisa rawe yangu x3 (huku anapandisha...
BI.ROSEMARY OTHUMANI [54] mkazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, amejikuta akipata aibu ya mwaka kwa watoto na majirani zake baada ya vijana wawili kupigana na kutoana ngeu kwa madai ya kila...
A man went for a job interview with his wife. The man went in first and discovered that the preceeding questions were all the same with his. So when he came out, he told his wife all the answers...
Jamani binti mrembo uliyepo hapa arusha ni pm tafadhari upweke unanimaliza...nimehamia hapa kikazi na niko hotelini tu..karibu japo tubadilishane mawazo na kupata kinywaji kwa muda..ni hilo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.