KENYANS AND BARGAINING You really don't have to think long b4 a name or 2 pop up!!
Operator: Thank you for calling Kenya Airways. How may I help you?
Kenyan: Hallo. Germany ni pesa ngapi...
Hii ilitokea kabla ya kuenea kwa gonjwa la ukimwi!
Nilikuta mabishano ya vijana wakisema kuwa kwa mwanamume ni aheri ya ugonjwa wowote ule kuliko jogoo kushindwa kupanda mtungi.
Eti nini...
Andika "N" kama jibu ni Ndiyo
Andika "H" kama jibu lako ni Hapana
Andika "S" kama hujui jibu.
Swali letu la leo la kipima joto ni:
1.Eti bishanga ni tajiri kuliko balesa?
2.Eti Asprin ujanja wa...
heshima mbele wana CC, eeh bana katika utaratibu kwa shughuli za kila siku kila mtu nahisi huwa anapangilia mambo yake.
Mfano: leo nitakwenda kazini nitafanya hiki na hiki nitaduri nitakwenda...
When accidents happen in different counties this what people say
UK: "Am sorry maam,can i take you to the hospital?"
U.S.A: "Appologies Madam,let me take you to the hospital."...
Jamaa mmoja akizungumza na mwenzake mazungumzo yalikua ivi MWENZAKE bana mimi nataka kununua tv JAMAA acha ufujaji wa pesa tv yanini wakati hata siku moja hutokuja kuonekana kazi kuwaona...
Jaman kuna kiongozi mmoja wa chama cha magamba anaeongoza kwa kusinzia sana bungeni, ana kashfa ya kutembea na lulu yupo chumba cha jirani hapa nilipo anafanyiwa matibabu,
Najua kwa tanzania...
Jamaa alimchukua changudoa sasa wakati wanasex dem akajamba,Jamaa akamuuliza vipi unataka kujisaidia?
dem akajibu nakubeep utumie line hii,hiyo unayotumia sasa betry low.Jamaa akahamia huko dem...
[BOSS]:kampuni yetu inapendelea zaidi watu wasafi,je kabla hujaingia ofisini kwangu ulikumbuka kufuta viatu vyako kwenye tambara hapo nje?.[JAMAA]:>Bila shaka mkuu,nilikumbuka kufanya hivyo...
Jamani ndugu zetu WAHINDI kumbe wanaogopa Mabaunsa
kiasi hiki hebu sikia hii; Jamaa mmoja Baunsa alikwenda
kuiba nyumbani wa Mhindi mmoja hivi anaitwa 'Ravji
Kumar' sasa wakati Baunsa anatoka...
[BINTI]:Bibi,hivi kwanini wanaume wanapotutongoza wanatupa zawadi nyingi kweli lakini tukishawakubalia hawatupi zawadi tena na wala hawatu thamini kama mwanzo? [BIBI]:Hahahahaaah!usinichekeshe...
Hodi hodi hodi Wanajamii,
Hiki ni kisa cha kweli kimetokea huku kwetu.
Endelea kusoma tafadhali:
Kuna mama mmoja alikuwa na nyumba ya kupangisha karibu na nyumba yake alokuwa anaishi...
Jamaa mmoja amedhihirisha kuwa kiingeleza ni soo baada ya kutumiwa jumbe za "happy birthday" kadhaa kwenye wall page yake ya facebook toka kwa marafiki zake mbalimbali wakimtakia heri ya siku ya...
A girl removed her jeans , threw it at her boyfriend and said.,
"MAKE ME FEEL LIKE A WIFE"
Boy removed his jeans , threw it at the girl and said.,
"WASH BOTH THE JEANS RIGHT NOW !!"
:argue:
MLEVI:Oyaa mhudumu,nipe bia ya kwanza kabla vita haijaanza[mhudumu akampa bia ya kwanza].MLEVI:Oyaa mhudumu nipe bia ya pili kabla vita haijaanza[mhudumu akampa bia ya pili]. MLEVI:Changamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.