Kwanza,kwa wale wenye mapenzi mema na ndoa zao najua mtakubaliana nami. . Leo nimeamua kuwawekea ukurasa huu maalumu,kwa wale wfte wanaowa-cheat waume/wake/boyfriend/girlfriend zao watubu...
*Marriage Software*
This is what a guy wrote to our systems analyst (Marriage Software Division):
Dear Systems Analyst,
I am desperate for some help! I recently upgraded my program from...
Naingia mgahawani kupata kifungua kinywa natengenezewa mayai matatu na vikorombwezo vyake..bili inakuja elfu tatu kwa mayai tu..nauliza kwanini mayai mnauza bei ghali hivyo?? Mhudumu...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Pamoja na kuwa na sura na tabia za kijelajela lakini hakika ubunifu wako unaibeba chi chat.Tulizana sasa,stick to what you can do best,to cheat chat,achana...
Mh speaker awali ya yote napenda kutoa pongezi za dhati kwa mke wangu mpendwa,leo amepika chai tamu sana
Napenda kumpongeza mtoto wangu wa kike kwani mpaka mda huu hajapata boifrendi wala mimba...
Habari wana jamvi, natumaini mmeshinda vyema. Iko hivi kuna dada mmoja simfaham kiundani, tumefahamiana kwenye mitandao ya kijamii. Yeye anasema yupo Senegal kwenye kambi ya wakimbizi, ila...
Tukio hilo nililishuhudia hivi karibuni katika viunga vya Mwenge hapa jiji Dar wakati naenda Hospitali. Nilikuwa nimesimama kwenye duka moja la kuuza Dawa kuulizia dawa fulani ambayo niliandikiwa...
After having sex:-
Americans n Europeans:They look for
drinks to cool themselves n chat a little
Asians(indians)-They rush to the
kitchen,grab whatever is left there and
eat it with chillie...
Ajali za barabarani ni moja kati ya sababu zinazosababisha upotevu wa nguvu kazi ya taifa. Imekuwa kawaida kwa magari ya abiria kuzidisha mizigo wanakuwa wanawaomba watu wasogee mbele pindi...
Mh..nipo ofisini kazi si nyingi kivile,
Tunapata early tea hapa niko na immediate bosi wangu na wadada wawili..
Topic of discussion: Mdada huyu mmoja ana mume yu masomoni Dodoma. Sasa...
Kuna mlevi mmoja alipanda dala dala akaenda kukaa seat 1 na mlokole..yule mlokole akamwambia mlevi,kaka unaenda motoni..yule mlevi akajibu ahh konda kumbe hauendi kariakoo?nishushe basi
Fikiria wewe ni mtangazaji wa mpira.Mechi inayochezwa ni kati ya timu ya mkoa wa Mbeya na timu ya mkoa wa Kagera....hivi ndivyo utakavyoutangaza mpira.
...Anakwenda pale Andendenisye...
Jogoo alikuwa anamkimbiza jike hku akiwaza nikimkamata leo atanikoma na nikimkosa nitazuga nafanya mazoezi ya kukimbia. Jike nae alikuwa anakimbia huku akiwaza ngoja nikimbie nikisimama...
Hi Wadada
Mwezi mtukufu huo waja, leo nimeona nishare nanyi baadhi ya designs kutoka huko Dubai na Mascat ili mpate idea wakati mkijiandaa na mwezi Mtukufu.
Kama umevutiwa kupata mambo zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.