JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jamaa siku 1 akiwa katka pita pita zake mtaan akahis kiu ya maji,ikabid aende nyumba ya karibu.mara akabisha hodi na kuomba maji ya kunywa,lakin akaletewa maziwa, akayanywa yale maziwa baada...
0 Reactions
4 Replies
833 Views
habhari zenyu binafsi! wanajamvi wapi fiesta 2012? mwenye data zaidi atumwagie. . .
0 Reactions
36 Replies
3K Views
jaman kama wiki iliopita nilivoweka thread ya mimi kurudi nyumban basi hatmae nasty nipo uswahilin kwetu huku ila tuu ninasalamu nyingi sana kutoka kwa mamaangu mzazii, anawasalimu saana. Tena my...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Safari yenye Mkosi. Safari toka Dar-Arusha ilitakiwa kuanza saa12.30 lkn imeanza saa 3.00asbh. Na Hapa ni Maeneo ya Kabuku ambako tumepata pancha! Utafikiri tunakwenda msitu wa Mabwepande aisee!!
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Mama mmoja mjamzito - ujazito wake ukiwa kama miezi minane hivi - aliingia ndani ya basi na kuketi tayari kuanza safari. Mara akamuona kijana mmoja (umri upatao miaka 20 hivi) anamwangalia sana...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Tafadhali weka maneno kwenye hii picha (wanaongea nini) I fetch it fromJF two years ago, kutest kumbu kumbu zetu Please be funny and creative, let's have a good weekend Interpretation yangu...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi jamani kwa nini kusianzishwe huu utaribu humu jf,kama mtu akikosea asipewe "ban" bali apewe muda wa kufuta kauli yake kama ilivyo bungeni,na kama akikataa ndio apewe red card!Je,unaonaje haka...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Simba mwendapole.. Huyo ni Sharobaro 2. Asiyefunzwa na *****.. Ujue Mama hajapitia Ualimu 3. Zimwi likujualo.. Lilikuona Sehemu 4. Chelewa Chelewa.. Ukizikusanya utapata Ufagio 5. Hakuna...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Wadau,baada ya kufikiri saaana,sehemu gani ya kwenda kupumzika mimi na marafiki zangu kadhaa weekend hii,tumeamua twende Mabwepande msituni.Any one want to join us is invited.Hope will be a nice...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
nimengia dar baada ya majukumu mazito niliyokuwa nayo mkoani. Nahtaji kampani, raha ya mtoko wa wikiendi muwe 2 na kuendelea. Tutafutane watu dsm.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuwa Tanzania ndio nchi pekee duniani inayoongoza serekali kwa kutumia nguvu za giza, na kuloga wananchi wake ili wasijue haki zao na kuzidai. eti kuna wakatiu hata bungeni walimwaga unga mweupe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najua hii ilishawah kuwekwa hapa jamvin ila si mbaya kama nikikumbushia Mhudumu anamletea supu mteja huku kidole gumba chake kikiwa ndan ya supu Mteja"mbona unaleta supu huku kidole chako kikiwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Siku moja Tembo alipanga kuoa, katika sherehe yake ya harusi alisisitiza wahudhurie wanyama wakubwa tu, siku ya harusi Panya akatia timu mapema na kuketi ktk kiti cha mbele, Tembo alipomuona...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
kuna mbunge mmja wa njombe aliamua kufanya ziara mbalimbali kwenye jimbo lake, alipokuwa huko akaruhusu wananchi watoe malalamiko yao na kisha yeye kuyajibu, mambo yalikuwa kama ifuatavyo:- swali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawinda ndege
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hapa ninaomba neema ya Mungu inisaidie! maana hii baridi si mchezo! niko na jaketi la leather lakini kabaridi naka-feel kweli kweli! arusha, iringa, mafinga, njombe, kilimanjaro wanaweza...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Hakika ni ukweli unaokubalika upo juu nilidhani nimefika peke yangu lakini kwenye tafiti zangu ni wengi tu wamefika je utakubali nitoke na wewe out japo kwa kesho tu
2 Reactions
45 Replies
3K Views
wapenzi wa chit chat habari za asubuhi. This morning napenda kumpa big up ma swtlo Kaizer kwa kazi nzuri aliyoifanya hadi babu yetu Asprin akafunguliwa huko jela. Its true Kaizer you are good...
8 Reactions
138 Replies
8K Views
A married man was having an affair with his secretary. One day, their passions overcame them and they took off for her house, where they made passionate love all afternoon. Exhausted from...
3 Reactions
7 Replies
988 Views
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini mkulima mmoja alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote pamoja.alipoulizwa na polisi juu ya maiti mambo yalikuwa hivi; POLISI: zipo wapi maiti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom