JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Heri ya mwaka mpya 2016 wanaCC.... Kichwa cha habari chahusika saana..... Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2016... Ni jambo la...
9 Reactions
122 Replies
8K Views
Wakuu, kheri ya mwaka mpya. Upande wangu mambo hayapo sawa, ni siku ya kwanza ya mwaka lakini tayari nimeshajichanganya. Nijipange tu upya kwa mwaka 2024 maana mwaka huu ndio basi tena.
2 Reactions
11 Replies
774 Views
Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme. Wewe...
5 Reactions
28 Replies
977 Views
Ndo kwanza bado tarehe 2 ila tumeanza kusikilizia maumivu ya huu mwezi unaoitwa NJAANUARY. Kuna jamaa yangu anasema afadhali wale wasio na pesa siku zote washazoea ugumu wa life ila kama umezoea...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Nakuleza jirani,ndugu,rafiki na jamaa kwamba january ndio hii na jina la mtu pia. Tujifunze kubakisha akiba ya january .simu sishaanza sasa
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Habari wadau! Kautafiti nilichokafanya nimegundua kila mlevi na mnywaji kuna nyimbo huwa anaipenda kuisikia pale pombe inapokolea au anapokuwa anakunywa. "Nainua mkono mama kitambaa...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Nawatakia heri ya mwaka mpya nyinyi wote
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Happy new year 2023 to you all Wanabodi.. Heshima mbele! Tuliopo viwanja muda huu na wake zetu, mchepuke n.k tujuane hapa na kiwanja ulichokaa huku unamwagilia moyo. NB: Ada za watoto kulipa...
0 Reactions
5 Replies
318 Views
Yaani makubwa haya kama hujui kuna mengi ya ajabu sana kwenye hii dunia. Kuna wakati unashangaa Lakini ndio ukweli wenyewe. Binadamu ana namna mbalimbali za kujippatia Riziki. Utakuta vishoka...
1 Reactions
17 Replies
752 Views
Jana usiku nilikuwa zangu tu nipo kitandani nimelala, sasa mimi nilikuwa na exgteytion yangu mkononi, Mara nikasikia baba huyo mwanangu panda bus basi na treiont mimi nikajiuliza hivi huyu mimi au...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Kuna maombezi mengine huwa ya kimihemko tu [emoji3]
8 Reactions
72 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavuojieleza weka tukio ama tendo la kwanza kuliona ndani ya mwaka 2023 kama na wewe umefanikiwa kuiona 2023
5 Reactions
39 Replies
891 Views
Hawa wote wakimpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wao basi Dar es Salaam Imepona. Nawatakia Mwaka Mpya Wenye Baraka. Kazi Iendelee kwa kasi ya Mbape!
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Mimi nimeona "gratitude" "money" "connection" na "health" Tafuta hapa chini Kama una macho mazuri[emoji116][emoji116][emoji116] Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
52 Replies
2K Views
My wishes for you are not limited to just the next year but to all the years that you experience in your lifetime and in your reincarnations! Have a fun-filled, smashing, rocking and happening New...
1 Reactions
1 Replies
561 Views
Mwaka uwe wa baraka na amani kwa kila member. Happy new year 2022
17 Reactions
53 Replies
2K Views
2023 mtaniambia mliyoyafanya kuufungua mwaka 2023, namaanisha mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje. Naombeni mfungue mwaka kiutakatifu, mkiuchafua kwa shahawa zenu hizo basi mjiandae kuuanza...
12 Reactions
91 Replies
2K Views
Tumetoka mbali tangu Januari mpaka sasa ni Desemba. Tupongezane na kutakiana heri kwa mwaka ujao wa 2023.
2 Reactions
9 Replies
456 Views
Samia nimeona nikujibu huku mama. Asante ujumbe wako nimepata, familia yangu imefurahi sana nimewasea ujumbe. Nachukua nafasi hii mimi na familia yangu kukutakia heri ya mwaka mpya pia karibu...
1 Reactions
1 Replies
360 Views
Tutapata date za kumalizia mwaka, haya twende kazi... Sema JF Bluetooth ziko chache sana
3 Reactions
176 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…