Umezaliwa mwezi gani?
JANUARY =:> Jasiri na mkorofi
FEBRUARY = :> Mwenye bahati na mkweli
MARCH =:> Msumbufu ana wivu na penzi la kweli na nimzuri
APRIL=:> Anajali na ni mpiganaji.
MAY =:>...
Inasemekana wanawake wanaongoza kwa kuitana majina matamu wao kwa wao kama,sweet,honey,dear,my love,darling nk. Na wanaume wanaongoza kuitana majina ya ajabu ajabu wenyewe kwa wenyewe kma ,mbiga...
Ni jumapili tulivu kwangu,bila shaka hata kwako pia.Nikiwa nawaza na kuutafakari wema wa Mungu,kwa kazi yake na baraka zake tele juu ya maisha yangu haya ya kujumlisha na kutoa.Nikiwa namwambia...
Ikifika Ijumaa wanabaki wachache kwenye forum...wote wanakimbilia gambe. Sibahatishi nawajua baadhi yao Asprin, Erickb52, Preta, Kongosho... tena huyu ndiye pampula kabisa anapiga mpaka nyagi...
Enzi za ukoloni wabongo
wawili wakawa wa
kwanza kupanda ndege, safari ya kuelekea
ulaya;
mbongo 1: Aise hivi hii
ndege ikizima huku juu
itakuwaje?
Mbongo 2: Shhhhhh uchune, hawa wazungu...
Hakimu. Wewe binti uligundua kuwa umefanyiwa kitendo hicho cha kubakwa baada yao muda gani?
Changudoa., niligundua tu baada ya bank taller kuniambia cheque niliyotaka kudeposit ni fake.
Kwanza shikamoo Babu yangu mpendwa, mimi mjukuu wako huwa nakupendaga dats y huwa nakwambia ukweli na sio kukusema pembeni. Basi babu uwe unapalilia mazingira co kusahau kiasi hiki. Ndimi mjukuu...
Mzee ODM Asprin
Ni matumanini yangu ndugu zangu wapendwa wote hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu za kutafuta fedha kama kawaida.
Leo hii nipo na Babu yetu kipenzi ambaye pamoja na umri...
heri wanajamvi? naomba kujuzwa ni maeneo yepi ya kujidai ukiwa ndani ya bandari salama? nitakuwa huko ths w-end. . . .
plz yawe maeneo mapya hasa yaliyofunguliwa ndani ya mwaka.cos tangu mwaka...
Hodi wanaJF, tangu limetokea tukio baya la kutekwa na kupigwa vibaya Dr. Ulimboka, I found myself deep in love with JF Updates and JF Members contributions. Big up sana, together we stand. THANKS...
Mama yake Wema anaongea kwenye take one ya Clouds FM, ametishia watu wanaoandika habari mbofu mbofu kuhusu wema atahangaika nae mahakani, kasema wema ni mtoto mzuri sana lakini waandishi wamekua...
Wapenzi wa jf ni jumapili njema sana, kwangu na kwako pia naamini. Napenda kabla ya yote nitoe pole sana kwa Dr Ulimboka na kwa mkewe specifically Bi Myovella kwa yaliyoikuta familia yake Pia...
Sina budi kutoa shukrani kwa wote walioshiriki tangu Mpendwa wetu Dr ulimboka kukutwa na yaliyo mkuta hadi walipofikia sasa kwani twaamini nimwenyezi mungu ndie muweza, pia naomba kutoa shukrani...
Nimeuskia huu wimbo wa Dr Jose Chameleone, anaimba 'sina barubaru baibe'' ivi ni barubaru huyu huyu wa hapa JF au? pia siku izi simuona wala simskii hapa mkekani. sijui kapotelea wapi? ni wimbo...
APPLICATION FOR EMPLOYMENT
I refer to the recent death of the Technical Manager at your Company and hereby apply for the replacement of the deceased Manager.
Each time I apply for a job, I...
1. Acha tabia ya kujamba katikati ya watu alafu unakuwa wa kwanza kuzuga "nasikia kama harufu mbaya hivi..."
2. Acha tabia ya kujifanya we ni shabiki wa Barcelona ili mwisho wa game utoke kifua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.