JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Binti alirudi kijijini baada ya miaka 5. BABA: We mwanaharamu umeondoka hapa kwa miaka mitano hukutaka kutuandikia barua wala kutuma salamu unajua ulimtesa sana mama yako? BINTI: Baba niliona...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mme anamlalamikia pasta, "Tangu mke wangu awe mlokole ananikera sana wakati wa kushiriki tendo la ndoa maneno yake ya mapenzi yamekuwa 'ooh haleluya, asante simba wa yuda, thank u alfa na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimemsikia Boniface mkwasa akikana kuwa dadazetu hawajishughulishi na usagaji kama vyombo vya habari vinavyo ripoti, kumbe kambini hawajifunzi soka tu ni pamoja na Malavu davi?nimesikia kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hamjamboni wanaCC dah, wakati watu tuko kwenye kampeni ya TOKOMEZA MICHANGO YA HARUSI, SEND OFF NA KITCHEN PARTY mwingine anaibuka kukuomba mchango wa birthday! jaman jaman jaman maisha yenyewe...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
If you see a guy opening a car door for a girl, its one of two things..... either a new girl or a new car :P
0 Reactions
8 Replies
1K Views
HIKI NI KAMA KICHEKESHO LAKINI PIA YASIKITISHA,UBISHI WACHANGIA PIA AJALI YA CANTER - MBEYA. Gari aina ya Canter Toyota ikiwa imetumbukia katika mto Jianga maeneo ya Ilolo Jijini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzungu kaja bongo kutalii. Baada ya siku kadhaa kakutana na rafiki yake wa kibongo. Wameketi mahali wanapata vinywaji na bites huku wakibadilishana mawazo. Sehemu ya mazungumzo yao ni hii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I'm a word of 5 letters.People eat me.If u remove my 1st letter i'll b a form of energy.If u remove my 1st 2 letters people will need me 4 living.If u remove my 1st 3 letters,i'll b near u.If u...
0 Reactions
55 Replies
10K Views
1. You are reading this. 2. You can't say M without touching your lips 3. You just tried it 4. You just smiled or laughed. 6. You are a boy/girl. 7. You didnt realize I skipped 5...
1 Reactions
2 Replies
644 Views
MziziMkavu aka mziziology ameamua kubariki mgomo jf doctorz kwa members wake kutorudisha fadhila.amejikita sana kwenye magojwa malovee aka mahaba ni mtaalamu sana magojwa hayo ni...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
  • Closed
Wajameni wana chit chat! Tumepata msiba mkubwa!! Yaani babu yetu, mkaguzi mkuu, fotografa wetu mkuu, katiwa pingu na wakuu wa humu!! Amefanya nini? Hima hima niungen mkono atokemo huko...
11 Reactions
260 Replies
11K Views
Sasa hivi ndio ninalala ha ha ha ,...wewe je?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale mashabiki wa series hasa zile zilizopata umaarufu sana kama 24 ambapo kuna mtu anaitwa Jack Bauer, yuko kwenye tv series nyingine inaitwa The Confession ambayo imekaa ki Jack kweli...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamaa yangu mmoja alikuwa anatembea na mke wa mtu, akaonywa hakusukia. Cku moja akamka asubuh akasikia maumivu ya ghafla kwenye nyeti zake, bado akiwa anashangaa akamuona panya anapotelea kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
za weekend wana CC? me pouwa kbsa ndan ya bandari ya salama. jaman kuna watu wanabore kweli ni wasumbu square! mf. unamtext mtu afu hajibu kwanini unaendelea? unampigia cm hapokei / anakata...
0 Reactions
48 Replies
3K Views
JAMANI! TUWE TUNASOMA UJUMBE MARA TUUPATAPO!!!Mgonjwa mmoja mahututi alikuwahawezi kuongea, alipofikishwa hospitalini akawekewa oxgen.Bac wakaja waumini wenzie akiwemo Mchungaji kuja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Klabu ya Michezo ya JF imeanzishwa. Kwa sasa tunaandaa timu ya Mpira wa Miguu lakini baadaye michezo mengine kama Mpira wa Kikapu, Riadha, Baiskeli, Kuogelea...zitaanzishwa.Tayari wachezaji watatu...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
mbongo 1: Aise hivi hii ndege ikizima huku juu itakuwaje? mbongo 2: Shhhhhh uchune, hawa wazungu hawana maana watatulazimisha tuisukume mpaka iwake.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nakerwa sana na barabara ya Mikocheni sana sana kwa kweri aiseee nakwerwa saaana aisee......kuanzia pale baraka plaza mpaka klauzi kuna wale wapuuzi puuzi fulani wamechimba barabara kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamaa mmoja mlevi alikuwa na mazoea ya kurudi home usiku sana, siku moja karudi mishale ya saa tisa usiku.maongez kati yake na mkewe yalikuwa hivi Mlevi,.Dear, have you put automatic bulb in the...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom