JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku moja bwana mmoja mpare kwa kabila alitereza na kutumbukia kisimani,akapiga kelele kuomba msaada,mkewe kaja na kamba mpya kumuokoa,mpare akamuuliza, Mpare: Hiyo kamba umenunua sh.ngapi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasira;hodi hodi naingia huku nikishanglia budjet imepita tena kwa kishindo,ester nakuwapa supot bunda haurud! Mnyika;dhaifu,nyie dhaifu tena na wenu mwenyekit,magamba mnahira 2015 hamrud...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za Yesu.." Konda: "Vipi wewe, Yesu bado hajatoa album..." ******************************** Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda tu!?" Konda...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaa mmoja (32) alikua bikra na mwoga wa madem, alilazimika kukutanishwa na dem kwa mara ya kwanza baada ya washkaji kufanya mpango wa kumtafutia dem na kuwaacha wawili tu chumbani,kwani alisema...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mchina kadaka demu akaingia naye guest,basi mchina kila akipiga bao 1 anashuka kitandani anapiga push up nin,mara anaingia uvunguni mwa kitanda anatokea upande wa pili,basi akafanya hivyo...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama ulikua hujui sasa leo nakujuza moshi- "mungu onyesha sehemu hela ilipo" naomba mangu kama nimekuudhi!!!! Nawasilisha tu!!
0 Reactions
9 Replies
6K Views
wana jf ni asbh kazi zinaenda na misuli inabana ila naona niwaletee wafuato na nafasi zao katika moyo wangu na maisha yangu, Smile LEVEL, Eiyer babe S hawa ni wadogo zangu wa moyoni nawapenda...
13 Reactions
184 Replies
11K Views
HAKIMU: Bibi, hebu ieleze mahakama kilichotokea. BIBI: Nilikuwa nimelala nyumbani kwangu usiku wa manane,mlango unavunjwa na anaingia huyu kijana, aliyesimama pale. HAKIMU: Endelea, Bibi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
One evening Macho went over to his friend Omondi's house have dinner. After dinner they decided to play cards with some other friends. Macho sat directly across from Omondi's wife. Macho...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Sijui nitamalizana nazo lini? polepole ndo mwendo lakini.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mmmmmmmm Nazchukia hzo cm...... Khaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
734 Views
Ntaanza kama ifuatavyo: >jina langu ni: Blessy Godwin. >Natokea kinondoni UDSM. >avatar yangu ni Bampami. >jinsia yangu ni male >miaka yangu ni 23 anayefuata.....
3 Reactions
120 Replies
8K Views
Tulizana this weekend!!!
2 Reactions
3 Replies
847 Views
Katika hali isiyo ya kawaida bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha sheria ambayo itazifanya jinsia zote mbili kufanya mambo kwa usawa. Sheria hiyo inaagiza kuwa kuanzia tarehe 1...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
siku hizi kwenda nje ya ndoa wameiita kuiba roote! :eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husband was seriously ill. Doc to wife;''Give him health breakfast,be pleasant,and in a good mood, dont discus ur problems,no tv serial, dont demand new clothes&jewerls. Do this,after a year,and...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
My mom only had one eye. I hated her... she was such an embarrassment. She cooked for students & teachers to support the family. There was this one day during elementary school where my...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina hamu sana ya kunywa turbo king beer. Hapa dar nimetafuta sehemu tofauti nmekosa. Pasaka hii ilinibidi nifunge safari hadi kigali ili niinjoy. Mwenye kujua sehemu wanauza p'se. Naomba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mtu hapa lazima nimsomee HALBADRI! Na sijui kama ataumaliza mwaka huu, maana kazidi mno kuni-PM akitaka kunitia katika dhambi, kama alikuwa hajui, basi mie ni mtoto wa Sheikh Sayed Mabrouk...
1 Reactions
55 Replies
3K Views
Mathalani ameshuka Malaika wa Rehema. Akawa yupo mbele ya uwepo wako, kisha akapaza sauti na kunadi hivi :- "Ewe Mwanadamu nimekuja na zawadi ya maana kwako, nina aina mbili ya zawadi. Ambapo...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom