Mtoto:Baba mi siendi tena shule,ticha kaniambia mpaka nimtajie Kampala iko wapi.
Baba:unaona sasa!mara ngapi we mtoto nakukataza kuchezea vitu vya watu,haya Kampala ya mwalimu umeiweka...
jamaa alikuwa anatembea mara akahisi kizunguzungu, mbele yake akamuona mzungu ikabd amfuate amuombe msaada alpofka akamwambia.
'hey can u help me coz i feel ENGLISH ENGLISH'
Jamaa alienda kwa mchungaji kuungama...
"Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana..."
Mchungaji: "Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana...
Atakusamehe tu..."
Jamaa...
Hebu tukumbushane vitu/topic au maneno ampayo yanachekesha ukiyatamka kiswahili kipindi kile tunafundishwa shule ya msingi lakini yanamaana nzuri kwa kingereza..
MFANO:
1.Mwendokasi mtoroko =...
Bwana mmoja ambaye alikuwa na wivu sana wa mapenzi kwa mke wake siku moja aliaibika.Bwana huyu alitoka safari na kurudi nyumbani, alipofika nyumbani moja moja alienda chumbani kwake kwa lengo la...
Sina jinsi wana jamvi nisaidieni,daktari kaniambia tiba pekee nilale shuka moja na mwanamke mwenye macho ya KICHINA,wadau mnanisaidiaje????????????????????????????
Hii ni kwa sababu ambazo alizitoa chumbani zisizo na msingi! kumbe amenisaliti na ....... watajitaja..... SITAKI TENA NAKWENDA KUSOMEA USISTAAAAAAA
NB: SITAKI USUMBUFU WA AINA YOYOTE KUANZIA...
Sasa wakati natoka ndo nikaiona ile picha,barabara yote ikawa haipitiki maana hata ubao ulikua hautoboki kwa msumari,na kalamu zimemwagwa zote juu ya mnazi.ile nachukua chaki tu Daktari akawa...
....kushindwa kuthibitisha kwamba wewe si dhaifu....udhaifu ni kujifanya uko siriaz wakati uko jukwaa la utani...udhaifu ni kujifanya unapinga ufisadi wakati umekosa nafasi ya kufisadi....
Mwanajeshi alikuwa vitani akashika
adui watatu,wote walikuwa
wanawake;wasichana wawili na bibi
(nyanya) mmoja.
Mwanajeshi akawaambia "Punishment
yenu ni mimi kufanya mapenzi na
nyinyi wote"...
Jamani!...jamani!.,jamai!
Ninahitaji kuvunja mahusiano na mwanandani wangu.(nadhani anajijua).Sababu ya kufanya hivyo ninayo,Nia ya kufanya hivyo ninayo,Uwezo pia ninao......enough is enough.Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.