Nimepata kusikia mtu yuko jela ila wiki iliyopita...........nilijikuta nimefungwa kifungo cha wiki moja jela nje ya jamii ya jamuhuri ya Muungano wa JF!!
Nilikaa gerezani nikiwaza watu wangu nilio...
Ingeamuliwa wana JF wote wabidili avatar zao kesho kwa sharti kuwa unaweza tu kuweka aavatar ambayo iko jf kwa sasa ili mradi siyo yako.
Wewe ungeweka avatar ya nani?
Nikiwa kazini katika kampuni ya ujenzi barabara hapa mjini iringa nilishuhudia kihoja hiki.Kampuni ya Interbeton baada ya kupata hasara kubwa kutokana na wizi wa mafuta,imeamua kuajiri wazungu ili...
Nimejaribu kumweka Kwenye list ya kutomwona kinadharia nkagundua kuwa chit chat itawezekana bila Bishanga. Naye ameligundua hlo na amesema anahamia kwenye Jukwaa la Ban(Siasa).
Be honest. Nani anakufanya/wanakufanya uipende jf? Why?
Mimi wa kwanza Kongosho! Anajibu thread haraka, avatar yake mnh, afu simwelewi anachangi kama mwanaume na sometime kama mwanamke
Haya haya Kumekucha, leo saa kumi jioni tunakutana hapa chit chart mida ya saa kumi jioni, nimeandaa ngoma ya KILUGWAI kwenda kumsuta Bishanga , Maandalizi yote yamekamilika, nuimekodi mdundiko...
A plane was about to crash. A man
looked straight into his wife eye and
said. MAN: honey i ve to confess to
u dat i nailed ANITA our house help
yesternight WIFE: honey, Mine is
never an...
I'm sooo happy !!!I saved a life
today , I asked a begger '' how
would u feel if I gave u Tshs. 10000'' and
he exclaimed '' I will die of
happiness'' so I didn't give him
anyting.
I'm sooo happy !!!I saved a life
today , I asked a begger '' how
would u feel if I gave u $ 1000'' and
he exclaimed '' I will die of
happiness'' so I didn't give him
anyting.......
Salamu si utwana kwa muungwana!nawasalimu nduguzangu.....basi ni hivi kuna maswali naomba niulize!
Wewe unarafiki wa kike/wakiume!ambae ni jinsia tofauti? Je hamjawai kutamaniana kimapendi...
Kuanzia leo chit chat kwangu itakuwa sawa na sentro kama sio Isanga,sikanyagi tena. Mzee mzima nahamia jukwaa la siasa na thread yangu ya kwanza huko itakuwa na title:
TANZANIA BILA JAMII FORUMS...
umeingia kanisani ukakuta uongozi na usimamizi wa huduma zote kanisania ni kama ifuatavyo:-
Paroko/Pastor - Bishanga
Msaidizi wake - Asprin
Mwenyekiti wa usharika - Dark City (a.k.a babu dc)...
I'm sorry for hurting you, like the way I do
I'm sorry for the hurtful things I always say to you
We know the fight will never last
but still the amount they do
I'd like to say I'm sorry for...
Swaleh aligombana na mkewe,
wakati wa kulala wakatengana.
Mume akalala kwenye sakafu,mke akalala
kitandani.Usiku Swaleh akawa anaipigapiga
NYETI yake akisema "wee ebu
tulia,huoni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.