JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tuone serikali itafidia wapi pengo la Viwanda vya pombe na Sigara Kodi.... Vox populi,Vox dei
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii mambo ni noumer aseeh, mshakaji aliagizwa kufata kondom kwa ajili ya majamboz usiku ila katika pita pita yake akakutana na mdada mzuri mwenye ngozi laini kama ya mdada fulani hapa Jf...bila...
0 Reactions
4 Replies
964 Views
Chiingereza china wenyewe! 1.English teacher at a secondary:"The girl goes to school goes'nt she?" 2.Headteacher in a school:"Both of you three come here" 3.An irritated teacher to a...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MUME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi ushavunja uaminifu wako wa ndoa mara ngapi? MKE:"Mara ya kwanza nililala na mwenye nyumba,sababu alidai kodi yake" MUME:"Mmmh...sio mbaya" MKE:"Mara ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Ujinga ni kumchungulia mke wako akiwa anaoga; ujinga ni kupunguza sauti ya TV ili usome sms; ujinga ni kutoa ushuzi ukiwa na headphone masikioni......ujinga ni.... Tiririkaaa.....
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Walevi wawili wazungu msimu wa baridi kali kwao Ulaya, walikwenda makaburini usiku "kutafuta mlo". Wakafukua maiti iliyozikwa jioni ile na kutoa alichokula marehemu kwa ajili yao. Mmoja akawa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alimwambia mkewe "Honey unaonaje tujikumbushe zile enzi za uchumba wetu?" Mke akakubali kwa kusema " Sawa si vibaya" Jamaa akamwambia mkewe "Basi kesho tukutane saa 4 garden" Mke...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dad;how was english exam? son;waz great fine except question number 5 confused me? Dad;enhe,what was the question? Son;it asked to write past tense of 'think'.i thought & thought &...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Changudoa mjamzito alienda hospital, Dr akauliza "mimba hii kakupa nani?" Changudoa akajibu kwa hasira"hivi wewe ukila maharage utajua ni harage lipi lililokufanya ujambe?"
0 Reactions
14 Replies
3K Views
HABARI WANA jf, KUNA SWALI LINANITATIZA kondakta akipandishwa cheo anakua Dereva, Shemasi akipandishwa cheo anakuwa mchungaji, Mwalimu akipandishwa cheo anakuwa Headteacher, Je hausgeli ama...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Jamaa mmoja ndani ya daladala inayoenda Gongolamboto,kachafua hali ya hewa pyuuu!! Pyuu,pwuaaah!!! Watu wote wakamwangalia akatoa simu akajidai "Hallo" Watu wakacheka wakasema "kumbe ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alijamba ndani ya daladala,pyuuu!! Pyuu,pwuaaah!!! Watu wote wakamwangalia..ili kuzuga akatoa simu akajidai "Hallo" Watu wakacheka wakasema "kumbe ni ringtone ya simu tu!"...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
umewahi kusikia hii eti RAIS wa Tanzania alitembelea Uingereza wakiwa katika pitapita jioni akaona jengo kubwa tu ila haliwaki taa akauliza vp mbona pale hakuna umeme? akajibiwa pale ni ubalozi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Basi hapo mwanzo abunuasi alibahatika kuwa na mbuzi jike hivyo basi akawa na fikra za kuwa tajiri hapo baadae kwani alijua kwamba ipo siku ambapo mbuzi wake angezaa na yeye angekuwa tajiri kwa...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
A man & his ever nagging wife were on a holiday trip in Jerusalem when the wife died suddenly. The undertaker said it will cost $5,000 to ship her home or $50 to bury her here.The husband said...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
kibaka alimpiga bubu roba akawa anachukua simu, bubu akawa anapiga kelele kuomba msaada, abhaaa bhana bhaaa bhaaa bhaaa bhaaa, kibaka kuona atastukiwa ikabidi awapoteze raia akaunganisha...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Mla mirungi alishtuka kutoka usingizini akiwa na hofu kubwa,jasho linamtoka na mwili unatetemeka Akamwambia mke wake "Nimeota ndoto mbaya sana wacha nikaswali rakaa mbili" Mke akamuuliza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nasikia hawa watoto walitaka kuigiza kufa na kufufuka! Sasa imekuwa bahati mbaya steve kaenda jumla, hakufufuka
0 Reactions
19 Replies
27K Views
Katika mwaka mmoja, Abunuwasi aliamua kuwa mfugaji mbuzi. Alinunua mbuzi na akanza kufuga na huku akiwa na tamaa ya kumuongezea kipato chake pindi tu mbuzi huyo atapoanza kuzaa watoto, naye...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
At a dinner party, the speaker who was the guest of honour, was about to deliver his speech when his wife sitting at the other end of the table, sent him a piece of paper with the word "KISS"...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom