Ndugu zangu sikujua kuwa jina langu lina ukakasi humu
Kuna wakati nilikua napata mashambulizi ya maneno humu na shutuma za uwongo uwongo.
Nikajiuliza kulikoni?Leo ndo nimejua ukweli
Maana...
Ukimaliza mwaka ukiwa mzima wa afya ni jambo la kushukuru mungu.
Waliotutoka ni wengi na hatujui kesho yake nani anafata.
Maisha haya tuliyokuwepo nayo ni ya kuhesabu mda wowote yanaweza...
vibertz, Tate Mkuu, Isanga family na OKW BOBAN SUNZU nasikia mna Suti Kali sana naomba Mmoja wenu aniazime ili nivae Siku ya Kupokea Tuzo yangu ya Ushindi Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa...
Miaka ya 90 watu kutoka mikoani ilikuwa kivutio kikubwa sana cha wageni kutoka pande zote mkoani kuja kupiga picha.
Ilikuwa rahaa kwa watu wa mkoa wataonekanaje kwamba wapo Dar.
Ila hata wa...
Hunijui sikujui.
Huo ndio ukweli, nyie vijana mnaofuga ndevu kama fashion ya kileo mjini hamna pesa. Kazi yenu kujichubua tu na kutongoza hovyo.
Kwa kuwa wadada wa leo hawajui wanahitaji nini...
Ni miaka ya 2000/2001 huko wilayani kwetu jamaa mmoja aliyeitwa Ibu aliibua taharuki mtaani baada ya kubuni style ya kuwavutia wadada.
Alikuwa akivaa shanga na kukatika viuno vya kiwango cha SGR...
Hello guys hope mko byee, wale tunaoelekea dodoma usiku huu karibu Tupite Didz, starpark, na samaki hapa morogoro tule bata za kimtindo, tufanye matumizi ya pesa, njoo ukinikuta una bill yako ya...
Mambo. Msifanye ubaya, naomba nishiriki siku ya kutolewa na kupokewa tuzo wale washindi tuliowachagua.
Natamani kumwona Mshana je, Bjbj, GENTAMYCINE na wengine
Hiki ndio huwa kinawatokea watu wengi kwenye love connect sema hawataki kusema ukweli [emoji1427]
Tunaomba shuhuda zenu Tafadhali [emoji1427][emoji848]
Unakuta mtu anakuja anashida ya kipepo na majini wachafu au kafungwa kiushirikina anakuja kama malaika pm anaomba msaada anapatiwa akishakuwa sawa.
Sasa anaanza kunirudia nakunidhihaki Kwa sana...
1. Gari Mercedes Benz new Model
2. Simu Kali kama anayoitumia Rais wa Marekani Biden
3. Kiwanja atakakochagua Yeye
4. Kwenda Kupumzika na Wanyama Serengeti National Park
5. Ofa ya kwenda...
Zamani kidogo tulienda kuwinda na wazee wa makamo wanne. Kwakuwa mimi nilikuwa mdogo nikaambiwa kazi yangu ni kumpiga kabali/roba mnyama wakishatamka neno "TAYARI". Kisha wao watasogea na...
Ndugu zangu kulingana na huu ukata wa maisha nimeshindwa kuambatana na ndugu zangu kuelekea mgombani kula sikukuu naombeni nyinyi mlioko Dodoma mnialike nije kula ubwabwa.
Maisha ya Sunday school yalikuwa raha sana, pamoja na raha zake kulikuwa na vituko na vioja vya hapa na pale.
Mimi nilikuwa na allergy na mama mmoja hivi, yeye alikuwa kiwaki sana akitusalisha...