JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna watu humu wana misemo, vichekesho, n.k na hata ukiingia JF ukiwa na hasira unawezajikuta unaangua kicheko cha nguvu hadharani. Misemo mingine ni kama trade mark kwa baadhi ya members. Kwa...
10 Reactions
66 Replies
9K Views
Nape majuzi alikuwa nyumbani kwao. Katika pita pita akakutana na Makonde mmoja aliyekuwa anauza vinyago. Alivutiwa sana na kinyago kimoja kilichokuwa kinafanana na panya, na kilichochongwa kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Dah siku hizi naona trend ya watu kutembelea profile yangu imekuwa kubwa! Hivi tangu nimebadilisha jina nimekuwa maarufu eeh?
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Juzi mitaa ya Temeke walimsema ndugu yao mwenye tabia za ukibaka mpaka akafa. Hivi navyowaambia leo ndio wanazika.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu leo nimekumbuka miaka ileeee ya 80 hasa ktk swala la misosi. Enzi hizo nilikua nikiishi na wazazi wangu maeneo ya kanda ya ziwa,tulikua tukimiliki ng'ombe kadhaa,mbuzi,kondoo na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni katika matokeo ya darasa la saba,yafaulisha wanafunzi wote!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PLANE CRASH...... Gonaya Bodana and Mirugi Kariuki 〓10th June 2006 Kiplalia Kones and Laboso 〓10th June 2008 ... Saitoti and Orwa Ojode 〓10th June 2012 WHAT A SAD HISTORY...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
is the waste disposal facility being built near the recreational facility a mistake?DISCUS with reference to your body
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I love you.......
1 Reactions
138 Replies
6K Views
Yanki katoka kwao kijijini kaja Dar katika hangaika yake akapata nafasi Bongo Movie, akapewa kipande ambacho aliekt kagongwa na gari akafa. Filamu ikasambazwa ikafika kijijini kwao mama yake kuona...
1 Reactions
5 Replies
925 Views
Mafisango uso kwa uso na kanumba.........!!!!! KANUMBA: karibu jembeee,shwari? MAFISANGO:huko duniani si shwari,watu wanagombania mali zako. KANUMBA: Mungu wangu! Na lile v8 langu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamaa wawili walimaliza mafunzo ya ujasirimali hivyo wakahadiwa kupata mtaji wa milioni 10 iwapo wangezalisha faida ya 20% kutoka katika mtaji ambao wangepewa.Basi jamaa wakachukua sh.500,000/=...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Muumini alikuwa anaungama katika kibanda cha kitubio muunini:nimeua mtoto wa mwenzangu padre:ilikuwaje? Muumini: alikuwa amemlaza nikamuua padre akachungulia kidogo akaona muumini ana umri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sent using Landline 86540 Tapatalk, we yako unasend using what? Utasikia tapatalk jamiiforum internent siemen C25 nokia kitochi Blakaberi . . . . . .
0 Reactions
44 Replies
3K Views
At dinner, a little boy was ordered to lead in prayer by his father. BOY: But I don't know how to pray. DAD: Just pray for your family members, friends and neighbours, the poor, etc BOY: "Dear...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Supasta alipopata mkwanja akaamua kuhamia Masaki na mke na mwanae. Siku moja mwanae alipokuwa anacheza na manati akavunja kioo cha nyumba ya jirani. Supastar na mkewe wakaamua kumfuata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
what were your best and worst subjects at school Mine were.... Best: Maths & Physics Worst: Siasa
0 Reactions
18 Replies
1K Views
MCHUNGAJI aliitisha harambee ya ujenzi wa kanisa na ikapatikana 74,550 na waumini wakapiga makofi,mara MAJAMBAZI wakavamia na wakaamuru kila mmoja hatoe alichonacho, ikapatikana million...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakubwa! Kweli mateso yakizidi wokovu umekaribia Baada ya kuishi muda mrefu na Madame B bila ndoa,tunakusudia kubariki ndoa mnamo tarehe 20/08/2012,hii inatokana na mimi kuishi na Madame B kwa...
0 Reactions
92 Replies
8K Views
Mlevi karud nyumbani kamkuta mke wake kajilaza kwa bed kifudifudi huku kavaa kich*pi cha mikanda (bikini). Mlevi akacheka sana, mkewe akamuuliza "unacheka nini?" Mlevi, "tangu nizaliwe leo ndo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom