JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtoto alikuwa anaoga na baba yake kwa bahati mbaya akateleeza shaaa. . . Katika harakati za kujiokoa akadaka nanilii za baba yake, baba akafunguka ungekoga na mama yako ungekamata nini mshenz...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BUNGE LA UKRAINE WALIZICHAPA WAZIWAZI WADAU... MI NAPENDA NASISI WAZICHAPE... NA NINGEPENDA MDEE AZICHAPE NA MAKINDA....JE WEWE UNGEPENDA NANI AZICHAPE NA NANI? kAZI KWENU WADAU
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamaa mmoja aliota amekufa, alipofika mbinguni akaambiwa ukitaka kurudi duniani uchague kurudi kama kuku au panya, jamaa akachagua kurudi kama kuku, lakini masharti kama anataka kurudi kama kuku...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Changudoa mjamzito kaenda hospital, Dokta, "mimba hii kakupa nani?" Changudoa akajibu kwa hasira"hivi wewe ukila maharage utajua ni harage lipi lililokufanya ujambe..!?"
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa alikuwa uwanja wa ndege akaingia ndani ya ndege kakuta kitabu kimeandikwa ‘‘jinsi ya kurusha ndege toleo la kwanza“ 1.kuwasha bonyeza kitufe cha kijani“akabonyeza_ikawaka 2.kuondoka cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kulikuwa na kikao cha umoja wa mataifa, New York, Uingereza katika miaka ya 80, wakati kikao kikianza akatokea nzi wa chooni, akawa anasumbua watu, jitahda nyingi zilifanyika ili kuweza kumuondoa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ujinga ni kumuita mhudumu "waiter" wakati wewe ndo unasubiria huduma. .. Tuendelee wanajamii....
10 Reactions
287 Replies
28K Views
Naomba tujikumbushe majina yenye mvuto halisi wa Kiafrika. 1: Ngengafibili mwaikugile 2: Tuntemeke Sanga .......Endeleeni kuyamimina mengine.
0 Reactions
78 Replies
8K Views
unahabari,kwamba majina yana endana na tabia,skull walinitungia jina la osama kabla hata september 11,asee niklikuwa na matukio,mara kijijini warombo wameniwekea most wanted nisikanyage,skull...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani huyu mtu anapenda kuchonganisha wapendanao hukimkuta kwenye thread ndo kazi yake.HUYU MR.HAPENDEKI HUYU
1 Reactions
117 Replies
6K Views
Mpishi wa shule fulani alijikuta akilikimbia jiko huku amebeba silaha za kijadi na kuelekea gesti ambako aliumwa sikio mkewe alikuwa kule akishughulikiwa kikamilifu na mwanafunzi ambaye yeye huwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mmmmmh hapa sio ni mchemko huu?? Hivi tunalima mchele au mimi ndo sielewi?:clap2:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TEJA kaenda church na Kondoo wake. PASTA; si uingie kanisani mbona unakaa NJE? TEJA;-):unathani mi MJINGA? ehe.. si naskia SIMBA wa YUDA yuko ndani:
1 Reactions
4 Replies
1K Views
eti jamani ni lazima kwa model wa kiume kuwa mbeba vyuma?na je ni kwel kwamba wadada wanavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa?
0 Reactions
113 Replies
24K Views
Weekend ipoje pande hizo! wadau wa CC siku moja nilikuwa nilikwenda airport kumpokea mgeni flan... kwa bahati mbaya ndege ikachelewa kufika basi pale nilipokuwa nimekaa kulikuwa na watu kama wa3...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Huyu jirani yangu nina wasiwasi naye sana......... Kila siku asubuhi nakuta matembele ya mama Ngina bustanini yamechumwa ........ Nimefuatilia nyayo naona zinaelekea kwake..... Jamani tutaonana...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mhhhhh....loading... Nilikuwa natafakari TzDaima kesho wataandika nini nimetafakari..nisaidieni.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Dear Saint Ivuga, Thinking of you in a particular way tonight May you have a blessed day, full of love May joy, happiness and cheering spirit visit you today and for the year to come. Tonight I...
14 Reactions
202 Replies
14K Views
Niko Arusha kwa mapumziko kama alivyokuja mzee wa anga.Nahitaji kwenda Ma##ko Bar leo pliz wadau nielekezeni ni wapi.Taxi huwa sipandi wa boda boda nna kabaj kangu.Natanguliza shukrani.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom