Ni pembeni mwa barabara ya Shekilango Sinza Kijiweni jioni moja hivi nipo na rafiki yangu............wapo vijana (wa kiume) maeneo hayo wanafanya kazi ya kusafisha na kupaka rangi kucha za...
nikitaka kujifuza wananiita mshamba,bas kam ndoivo waliosoma wote washamba tena maprofesa ndo washamba wakubwa,NDOMANA WACHINA WAKASEMA IF U THINK IT CN NOT BE DONE YOU SHUDNT DSTAB DA ONE DOING...
Nimempenda sana huyu binti/mama. Simjui hanijui.............ukiniuliza kwa nini sina sababu.
Ukiniuliza umempenda kimapenzi nitakujibu "sina hakika"....ukiniambia unampenda kama dada yako...
wana jf wenzangu hebu tuelezane hapa ukweli na unachofikiri. 12 years tangu huyo baba aondoke nyumban kwake alisema anaenda tafuta maisha nchi za watu huko[south africa] na alimuachia mke watoto...
nina mchumba angu na ana mtoto wangu mmoja wa kike aliifungua miaka mitatu iliyopita a nimemtolea posa na kumvisha pete kabisa sasa me nilisafiri mwanza kikaz ba yy kabak dar, juz niliamua...
Katika mahusiano ya kimapenzi, iwe kati ya wanandoa, wachumba, wapenzi au hata usio rasmi (wa kimalaya) lazima kwa umri wako ulishakutana na kisa ambacho hadi leo huenda imebaki ni historia...
Devi kaajiriwa kwenye kampuni, akiwa ndo kwanza ana siku mbili, akainua simu ya mezani na kupiga extension fulani akijua kampigia mtengeza chai;
Devi: Oyaa hebu haraka leta chai
Jibu: Nani we...
Mbona we una kiherehere na kisebusebu hivyo? Nyie ndo mnalogwa alafu mnalalamika. Stupi... Shen... Type! Embu funga hii thread haraka, muone na sura ka kamasi la kondoo.
There are several kinds of doctors, and it is told that they can be differentiated by the following method:
General Practitioners know nothing and do little to patients.
Surgeons know little...
Padri alichoka kusalisha akaamua kujirekodi kwenye kanda ili kila ikifika mda wa sala anasimama na kufungulia redio. Siku 1 akaisahau ile kanda nyumbani akamtuma mtumishi wake akaichukue kumbd...
Nimejiuliza muda mrefu bila jibu naomba wadada nielewesheni. kuna aina ya magauni wadada wanayapenda ni marefu mpaka yanagusa chini kiasi kwamba mvaaji lazima alishikilie au apachike kwenye nguo...
Boy: Hi love
Girl: Hi hun
Boy: Are u free this weekend?
Girl: No i hv 2 attend ma auntie's
introduction & i hv bible study on
Sunday
Boy: Too bad.....thout i wud tek u 4
shopping this wkend
Girl...
Madaktar bngwa kutoka nchi 3 walikaa kushindana mfanikio ktk nchi zao:
MCHINA:Kwe2 alizaliwa mtt hana mikono,2kamwekea ya bandia na sasa ni mpiganaji karati maarufu.
MJERUMANI:Aah! Iyo kdg...
nilikua na dogo langu moja sasa tukiudhiana tunapeana malani, sasa malani yake yalikua yanachekesha sana maana hayanilengi muhusika. labda mi ntaanza kumwambia kichwa kama sufuria
yake yeye sasa...
Chawadika na Athuman Nyawanda walienda miembe mitano mtoni kuogelea. Chini ya mti wa msangala alikuwapo mzungu akila mafenesi. Ghafla Athuman akakamatwa na mamba na kumezwa. Chawadika akatoka mbio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.