I'd prefer to be in bed at home.
My last words would be "Thanks very much all Jf members for the help and support you've given me through the years. I love Kaunga , Mwali ,Erotica , bht ...
Kwa takribani siku kumi, nilifungiwa kuingia JF, eti kwa sababu nilitumia neno ................ naogopa kulitaja nisije nikapigwa tena ban (ila ni jina la pili la Didas!) ! Mods sijui kwa nini...
Wanabodi,
Puppets ni watu ambao wanaamini kila lisemwalo au lifanywalo na mataifa mabeberu ndio right hata kama ni la uongo!.
Natoa darasa dogo la bure jinsi ya kujitambua kama na wewe ni...
Wana JF,
Ninapata shida sana kuelewa kuhusu kipi nikipe kipaumbele kati ya kuchangia pesa kwa mgonjwa na kuchangia pesa katika msiba.
Naomba mawazo kipi ni muhimu kwani yanatatanisha akili...
Wife: Theres trouble with the car. It has water in the carburetor.
Husband: Water in the carburetor? Thats ridiculous.
Wife: I tell you the car has water in the carburetor.
Husband...
kama hujafanya mambo haya hujakaa uswazi
1. Kulilia soda ya mgeni
2. Kukataa kuoga
3. Kukataa kwenda shule kwa kusingizia unaumwa
4. Kutochez mbali na nyumbani siku ya sikukuu ili ufaidi pilau...
Kuna kitu cheusi kama giza na cheupe kama barafu......ni haramu kuliwa na halali kukinywa....kina herufi tano na kinaanza na neno M...kinatumika na wanaume mara TATU kwa siku na wanawake mara MOJA...
Ziki ndio vazi la taifa,hvyo kukimbilia kutafuta nguo ya taifa wakat maisha yamekua ukeketaj n ujnga,kwan viongoz ndio mangaliba.Umaskin ndio vers na mapenz n corus,mwimbaj mtanzania(Mwafrika).Sio...
hali zenu wakuu, naomba wanajf wa mwanza mjitokeze kwa wingi.nataka kuwapa offer bab kubwa. ila msizidi kumi. mkifika kumi tu nawapa ofa. c mwajua tena mambo ya mwisho wa mwezi! Come one, come...
Bandugu watoto vijana na wazee wa mjini hebu tupeni basi maujanja ya mjini.
Mim ni mbishi sana na ubishi wangu huwa siku zote unanigharim sana pindi nitakapo kujua ukweli wa mambo ya mjini.
Kuna...
Kumpiga mtu 'like' ni kumwonyesha unathamini mchango wake,tendo ambalo ni jema na la heri.Jamani we are family!
Ndugu mdau,hebu jipime kwa kutumia kipimo hiki cha ukarimu.Nenda kwenye profile yako...
Madaktari bingwa walikuwa wanafanya majaribio ya utafiti wao walioufanya.
Utafiti huo ulikuwa ni kuhusu dawa ya ambayo anapewa mama mjamzito muda mfupi kabla ya kujifungua ili uchungu wa uzazi...
A local United Way office realized that the organization had never received a donation from the town's most successful lawyer. The person in charge of contributions called him to persuade him to...
Jamani nimesikia katika mabadiliko ya katiba kutakuwa na kifungu cha sheria kinachotaka kila mtu aoe au aolewe na mtu aliyemtoa bikra.
Je,wewe utamuoa/utaolewa na nani?
Utaoa wawili au wa3?au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.