sikiliza mazungumzo ya baba na mtoto
baba: mtoto mzuri unamjua Nyerere?
mtoto: hapana baba
baba: pumbavu.....kuwa makini na masomo yako.
mtoto: baba na wewe unamjua Paul?
baba: hapana
mtoto...
Husband and wife are waiting at the bus stop with their nine children! A blind man joins them after a few minutes. When the bus arrives, they find it overloaded and only the wife and the nine kids...
Mzee mmoja wa lile kabila
linalopenda pesa kuliko wali,
alipata ajali mbaya akiwa
hajitambui akapelekwa
hospitali, hatimae Mungu
akamsaidia akatoka kwenye 'coma'. Akaangalia akaangalia...
Madam mmoja ambae alikuwa na destur ya kuwaomba wanafunzi wake wamsimulie ndoto..,mara baada ya kumaliza kufundisha..
Kama kawaida yake alipomaliza kufundisha ndipo alipo muhoji mwanafunzi mmoja...
wapendwa wana jamii nawaomba muungane na mimi katika sala ,tumuombee mwana jf mwenzetu angel msoffe.amefanyiwa operesheni juzi usiku na kafanikiwa kupata mtoto wa kiume japokuwa hakuwa amefikisha...
habari zenyu bhana. wana jamvi me kuna jambo huwa linanikera (samahan kama kuna mtu nitamkwaza) kuna ile kasumba ya kurithi jina. mf. et bibi yangu aliitwa tabu/shida then nami nikipata mtoto...
FBI agents conducted a raid of a psychiatric hospital in San Diego that was under investigation for medical insurance fraud. After hours of reviewing thousands of medical records, the dozens of...
Padre akawaambia waumini wote wafunge macho ili waombee mvua ili inyeshe, cha kushangaza walipofumba macho tu, mshkaji mmoja aliyevimbiwa kande akajamba kwa sauti, padre ikabidi aropoke maneno...
There was a farmer who sold a pound of butter to the baker.
One day the baker decided to weigh the butter to see if he was getting a pound and he found that he was not. This angered him and he...
KAA VIZURI...
Utafiti unaonyesha mwanamke ukimwambia hivi; moja kati ya haya mawili atayafanya kutokana na mazingira!
Atafunua nyeti zake... au
Atafunika nyeti zake...
Usiniulize ni mazingira gani...
A ship sank in high seas and the following people got stranded on a beautiful deserted island in the middle of nowhere:
A. 2 Italian men and 1 Italian woman
B. 2 French men and 1 French woman...
UONGO MWINGINE HATA HAUFAI....
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe
unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha nne
Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Aaah sory...
basi moja la abiria lilipata ajali liliteleza na kutumbukia mtoni,
kila mtu akajiokoa mwenyewe, kuna zuzu moja alipofika juu akavua nguo zote akajtosa tena!
watu wakashangaa na kumuuliza "we...
kila anaeniona ofisini ananizonga-zonga eti nimedandiana sana weekend...ivi kuna namna ya kuiondoa hii slag tag?...au ndio nivae pulneck na joto hili la dar?...msaada plz!
key: love bite ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.