JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Devi alichelewa kujiunga na chuo, hivyo alipofika akakuta kuna kitanda kimoja tu kimebaki katika chumba ambacho kulikuwa na mwanachuo ambae wenzake wote waligoma kulala nae chumba kimoja, maana...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nianze na mimi kama ilivyo ada...siku moja asubuh nimepanda daladala toka mbezi kuelekea posta nikiwa nimesimama huku mikono kwenye chuma, nikahis kupga chafya, kabla sijafanikiwa kutoa leso...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Sijui mikoani ikoje but kwa dar huwezi katishamitaa bila kuona mwanamke kavaa nguo hii ni rangi tu ndo wanatofautiana.....utasema 'zinagaiwa bure somewhere' sasa kwa wadada wa jf labda mtueleze...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Huyu jamaa mbishi kama mwanajf fulani hivi.......
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Devi kaenda kwa mtabiri akamuangalie mambo yake. Mtabiri akamwambie Devi afungue mkono ausome; Mtabiri: Una watoto wawili Devi: Hapo umebugi step nina watoto watatu Mtabiri: Wewe ndio umebugi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
A man went to sell his dog. A buyer asked him, “Is this dog faithful?” The man replied, “Yes,I have sold him 3 times but he returns to me.” kwa jokes zahidi fungua frank johnson jokes/ ENJOY JOKES
1 Reactions
4 Replies
2K Views
siku ya kwanza: mtoto-mama angalia yule dada tumbo lake kubwa kama nini mama-sawa yule ni mjamzito mtoto-aaa! Sawa mama siku ya pili: mtoto- mama angalia babu yule wa kiarabu mjamzito mama-hapana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichaa anakuna macho huku kavaa miwani, mwenye akili akamwambia "si uvue miwani ndio ukune macho vizuri?" kichaa akajibu "mbona wewe ukijikuna ****** huvui suruali?"
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Mlevi alipanda basi moja na mlokole, mlokole akaanza kumhubiria"mpendwa mrudie bwana kwani hata mbinguni kuna pombe lakini haileweshi,kuna bangi lakini hairushi akili,kuna mirungi lakini haina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha daladala wakafanya mazungumzo.Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake na mwenzie akimsikilizakwa makini,hatimaye mwenzake (jamaa wa pili)...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakubwa! Leo nimeamka salama kwa uweza wa Mungu nikiwa na mwanandna wangu kipenzi cha moyo si mwingine ni Madame B, ingawaje alikua amenununa kisa sikuweza kuhudhuria mechi usiku ya mimi na...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mzee katumwa sidiria na mke wake,kufika dukani muuzaji mwanamke! Mzee: nimetumwaa sidiria lakini size nimesahau Muuzaji:njoo unishike matiti utajua size yake mzee machale yakamcheza akaona ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kweli mapenzi hayana macho... Katika hali ya kustaajabisha klorokwini ameamua kujitosa na kuzama kwenye penzi zito la sweetlady bila kujali kuwa ni mke wa nitonye na bila aibu SL ameonekana...
6 Reactions
163 Replies
8K Views
Bila English Premier League? Yaani weekend inakuwa ndeeeeefu.We mwezi august wewe,mbona hufiki?
0 Reactions
62 Replies
4K Views
Mwalimu (wa primary) aliingia darasani;mara baada ya salamu,akawapa wanafunzi wake zoezi, na kuwaambia; "kila mmoja achukue kalamu na karatasi na amchore Tembo", kila mwanafunzi alitingwa na zoezi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mpendekeze unayehisi anastahili. matokeo yatatatangazwa.
1 Reactions
119 Replies
6K Views
whenever im stressed up i do crying alot, chillin all alone n jus to think about me, ido alot of be quite jus to watch over some peeps talking. Wat about u guys what do u do to be free from...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Alimtesa sana girlfriend wake,alikuwa anaonyesha live kwamba anaenda kubroke up mda mfupi ujao,girlfriend naye aligundua kinachoendelea na akaamua kuliko amkose heri amtoe roho boyfriend...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mjukuu mmoja alikwenda kijijni kumsalimia babu yake baada ya miaka mingi kupita ndipo babu yake akamuhoji 'hivi nyerere wa siku hizi ndio kikwete?' maana yule nyerere wa manzo alikuwa anakuja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Nataka kubadili jina JF kwani manzi wangu kajiunga nimegundua jana baada ya kupost habari nae kunijibu kwamba ashajua nami nimo! Na sababu ya kutaka kubadili ni kwamba kuna time zingine uwa na...
0 Reactions
8 Replies
955 Views
Back
Top Bottom