Sijui msemo huu unaendana?
Nakumbuka kuna siku nimetoka shule sijavua hata uniform nikaambiwa nikafungue ng'ombe zilipofungwa kwa malisho nizirudishe nyumbani. Kufika pale(kipori Fulani) badala...
Tuko kwenye msimu wa sikukuu, watu wanafurahia kuona Krismas na pia kufikia Mwishoni mwa mwaka.
Lakini kuna mtu anaumizwa na furaha za wengine, katikati ya furaha anatutumia message ya...
Kiukweli huyu jamaa anamvuto flani hivi ambao huwezi kuuelezea. Namna yake ya uandishi na uwasilishaji wa anachokiamini huwavutia wengi.
Nadhani isingekuwa sheria za JF za kulinda faragha huyu...
Kuna shimo moja liko katika kijiji kimoja mkoani Lindi ambalo sio man made ila ni shimo ambalo hakuna mtu amewahi kuingia. Ni giza tupu, inasemekana ndilo Wajurumani walilitumia kuwatumbukiza watu...
Mwaka ujao panapo majaaliwa yake Mungu (wa mbinguni) namuomba anisaidie uzima na afya njema niweze kufanya kazi kwa bidii ili ninunue bajaji.
Naipenda sana hiyo kazi na kwa sasa ni moja ya ndoto...
Kipindi cha nyuma kabla kuingia internet na matorrent movie zilikuwa zinaoneshwa kwenye chaneli tena kipindi cha xmass.
Leo nimekumba ITV ilivokuwa inarusha sinema ya robocop au superman.
xmass...
Tumeumaliza mwaka 2016 salama na kuuanza huu wa 2017...ni mengi yametokea ya kufurahisha kusikitisha
Kuhuzunisha kukera kushangaza nk , tumewapoteza wapendwa wetu hapa nje na ndani ya forum...
Hiki kituko kilinitokea miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa dingi tayari sema ujana ulikuwa mwingi sana hadi kujisahau🤣 lakini kwa sasa mimi ni ustaadh hizi zimebaki hadithi tu.
Kuna sehemu nilikuwa...
Leo ni mkesha wa Sikukuu ya Noeli kwa Wakristo wote Ulimwenguni kusherehekea kuzaliwa kwa bwana Yesu Kristu.
Nami nichukue nafasi hii kuwatakieni nyote Noeli njema!
Napenda kukumbushana na wana jf kwa wale walopita kigonsera nini unacho kimisi walimu gani unao wakumbukaa Nikianza na mm nilikua pale 1991/1994 Twiga house. Nammiss sana Papalika Mlasu...
Hell
Wana jf mpka dakika hii sijapokea mualiko wowote wa sikukuu kutoka humu ina maana wote humu jf hakuna anae nikubali ata kwa asilimia kumi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ata wewe Mwana...
Cheti cha ndoa unapewa ijalishi umesoma,umefaulu wala nini !
kesi za wanandoa zimekuwa nyingi sana.
watu wanapoingia kwenye ndoa makucha yao uwanza kujionesha,tabia na kila mmoja kutaka akubari...