The time when you are waiting to finish downloading a file for 4 hours and when it reached 99% with few second to finish you get an error "no network coonection, download failed"
And that...
Nimeshazoea nikitoka kazini kama nitakuta umeme umekatika najua saa ngapi ni muda wa kurudi. Na kama nitaukuta umekatika pia najua ni saa ngapi utakuwa umerudi. Hivi sasa ni mzoea na nashangaa...
Wadau heshima kwenu.
Nimeona kuanzia jana JF premier members wamebandikiwa kinishani fulani hivi cha bluu afu kama vile nakatamani! Maana mambo yangu ni "bluu bluu". Napataje kuwa JF Premium...
Note: Don't take this personal! Just for funny, u know. . . .They say great thinker don't discuss people right? Hope I'm discussing characters qualities and attributes. . . . . .
Mwanajamiione...
Jamani, tangu nijiunge na JF miaka miwili iliyopita sijawahi pata Private Message. Kwa heshima na taadhima naomba ajitokeze wa kini-PM ili nione, alert yake inafananaje..!!!
Jamani kuna watu wanalalamika sitoi likes na wakati mimi napewa..the thing is ninatumia jf mobile na hakuna kitufe cha like!wote wenye dukukuduku nadhani nimejibu swali lenu!
MC,..............karibuni mabibi na mabwana
wageni,........Asanteeeeeeeeee
MC,..............bi harusi wa leo huwa havai kabisa nguo za ndani
wageni,........mshangoa aaaaaaaaaaaaaaah...
Dah! Usilolijua ni kama usiku wa giza na mengine usiombe kuwashiwa taa uyaone. Maana utaomba izimwe.
nabaki hapahapa chitchat nikisogea sana MMU lol!
'AT YOUR OWN RISK'
Binti mmoja alipokuwa akioga bafuni aligundua kwamba ameota vinywele sehemu sehemu.Basi yule binti akatoka mbio kwenda kumwambia mama yake kuhusu pu*sy yake ilivyoota nywele. Mama yake akamwambia...
Inatokea mtu anakuwa na tabia mbaya na anajua kabisa kwamba tabia hiyo itamletea dhahama au itamuua, lakini yumo tu, inamtesa na hataki kuiacha kabisa, hata akionywa na kupewa mifano mingi ya...
Siku moja redio ya mmasai ilikuwa haishiki stesheni, kila akijaribu ililia sshiii sswiii, akaamua kuipeleka kwa fundi, fundi baada ya kuikagua alikubali kuitengeneza kwa sh 3,000. Akamwambia...
I have found the love of my life, the one i that have been searching for my entire life. Now i know that I have found her. She is an angel sent from heaven above to protect me everyday and give me...
hello friends,tell me what is your favorite genre of games...Mine favorite genre of games is action Games so what about you guys?
________________
1000 of free games online to play and get 1000...
Premium category member ya sasa imesaidia sana kunikumbusha wajibu wangu wa kwenda kulipia dirisha la mgao wa huduma ya JF, nawapongeza sana moderators kwa kazi kubwa ya mabadiliko mliyofanya...
Jamani Mtambuzi uko wapi? Nafungua mmu coni habari unazotuleteaga kila ijumaa, au ni mimi tu ndio sioni? Mana napenda kusoma hyo mikasa, hata iwe ndefu vipi, popote ulipo nakuomba ujitokeze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.