Naomba wenyeji zaidi yangu wanisaidie haya,
GH isiyozidi 5000 mjini
Sehemu za kula cheap nazijua
Ntawaambia ntakapokuwa mtakaopenda "kupigwa mizinga ya bia"
See you there......
Jamani hii baridi ya arachuga kama washingtown vile!Blanketi halitoshi jamani
Natafuta mchuchu wa kunilea kwa muda huu! PM zote zitajibiwa! Vigezo na masharti kuzingatiwa!
Jamaa mmoja alimpa mimba mwanafunz ambae ni mtoto wa mchaga,baba mtoto alikasirika sana na akapanga kumuua yule jamaa....jamaa kusikia hvyo akam2mia ujumbe mzee kwa kumwambia mzee ni kweli nimempa...
Jamaa yangu katembelewa na mama mkwe wake ambaye kaja Dar kwa matibabu, sasa kwa vile amepanga chumba kimoja ikabidi awapishe mkewe, mamake na mama mkubwa walale afu yeye aje kujihifadhi kwangu...
Jamaa mmoja mgönjwa alienda kwa daktari akaweka kikaratasi kwenye meza kilichoandikwa siwezi kuongea.Daktari akamwambia aweke dole gumba juu ya meza.Jamaa akajua ndo maelekezo ya vipimo!
Daktari...
Mdada mmoja alipoteza pochi yake kwenye daladala! Jamaa mmoja muaminifu akamtafuta mpaka akampata! Yule dada alishukuru kila kitu kilikuwemo kasoro moja tu
MDADA; huku kulikuwa na laki,lakini...
Toa gambe weka gambe
Kata mti panda mti
Zungusha kama tulivyo
Drinking without smoking is like a charming girl with one eye
Ponda mali kufa kwaja
Tunashusha mikono
nipe...
Huku mbezi kuna babu mmoja nouuuma sana. Akipakiwa kwenye bodaboda anajifanya muoga anamkumbatia kiunoni dereva. Kumbe si moga wala nini anatatizo la mfadhaiko kwenye mashimo anajifanya 'yalah...
Mimi CHACHA MWITA MARWA,naapa kwamba nitakua ngaliba,nitailinda na kuitetea mila ya kiku....,sitatoa siri wapi tunapokeketea kwa polis kwa njia yoyote,nitatumia sime na panga kuilinda,
Mula...
Alikuja geto kwangu siunajua tena kwa ngwea..mi nkawa nimetoka nje napiga stori na jamaa wake ye yupo room nimemuwekea CD kwenye deki anasikiliza nyimbo, ile CD ikapiga nyimbo hadi ya mwisho...
JUST LOOK IN ANOTHER PERSPECTIVE.... If you are SINGLE and keep on saying
"I DON'T TRUST MEN OR WOMEN!"
remember... your mates are getting
married every Saturday. Let me ask
you, are they...
KIBERA KWA MBWEMBWE: KIBERA yupo na sista du
wakaenda kupata msosi
kwenye mgahawa m1
hvi,sasa bwana KIBERA
anataka kujifanya anajua
ung'eng'e mbele ya du,kufika pale wakakuta watasha a.k.a...
TAFUTA PART 1 YA HII NDIYO UJE HAPA. > Mke : Mara ya tatu mume wangu nililazimika nitembee nje ya ndoa, ni wakati wa uchaguzi.
Siku ile ya kuhesabu kura mme wangu ulikua...
Siku moja daktari wa wodi ya vichaa pale Mirembe hosp aliamua kwenda kuwapima wagonjwa wake aone nani amepona ili awaruhusu kutoka hospitali. Alipofika wodini akafunga mlango kisha akaenda upande...
Wote ni watoto wa waheshimiwa na wote ni wana ccm, Je kati ya hawa vijana wawili machachari ndani ya ccm, kimtazamo nani anauwezo wa uongozi zaid ya mwenzie
Jamani mimi sijawahi kuona message ya pm inakujaje maana sijawahi kuwa PMed
ila kwa sababu jf chama kubwa nna uhakika leo nitaziona nyingi sana.
Ufikapo kwenye hii thread usisite kuniPM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.