..jamani leo naomba tujadili jambo ambalo ulshawahi kutenda au kutendewa ukiwa shule ya msingi au mdogo ambalo lilikufehedhesha au had leo ukkumbuka huwa unacheka
...mimi nakumbuka nikiwa...
Nukuu :-
"Akijibu swali la Mbunge wa Pangani Mh Rished Abdallah,
Naibu waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dr Maua Daftari, alisema matumizi ya muda mrefu ya simu za mikononi ni hatari...
Wachaga na Pesa..
Mhindi,mpare na mchaga walienda kutoa msaada wa pesa kwa maskini.lakini waliweka masharti ya kupata huo msaada.na mambo yalikuwa hivi:-
mhindi>mimi ntachora duara kisha...
Devi: Hallo Sweety ntachelewa kidogo niko benki
Switi: Ai jamani nichomolee kama Hamsini elfu nimalizie deni la mchezo
Devi: Itakuwa ngumu kidogo, niko hapa benki ya damu Muhimbili.
Sorry, I am so sorry my love. I hurt you for stupid reason
Your tears made my heart cry. Why I did to you that I don't know
Forgive me! I am so sorry my love
Sorry, I am so sorry my love. I scold...
Stress huja unapotaka kila mtu aishei vile utakavyo
stress huja unapotaka kumplease kila mtu
stress huja unapotamani vitu unavyojua huwezi kupata
stress huja unapokuwa na wivu usio faida na...
ati kula makamasi ni afya.....aiseeeee
hawa ma dr wa siku hizi wamedata aiseeee....eti ukila kamasi liel zito huwa linakuwa gumu gumu hivi lina rangui ya samawati ati ni afya......linatibu...
Umetoka zako mjini na mwanao (chukua nafasi ya mtoto) alafu mnaishi maisha duni akakuuliza ulikua umetoka shuleni ukakuta barabarani noti ya sh.2000 na sh.5000 wewe utaokota ipi?
Kipindi hiki kinaanza na Mzee wetu Bishanga, ambaye baada ya kunizungusha sana kukubali mualiko wangu, hatimaye leo amekubali mualiko wangu na kuja hapa Studio kwa mahojiano haya ambayo...
Good morning my love, how did you sleep? Personally I didnt sleep well because you weren't next to me. I screamed and ached the whole night through. I hope you know that I love you so much and I'm...
Naomba unielewe mama watotowangu,nimetoka kwenye mihangaiko ya kutafuta riziki siunajua naamka asubuh na mapema wakati mwingie nawaacha watoto bado wawelala?.... madameB nifungulie basi mbu wa dar...
Fikiria wewe ni mtangazaji wa mpira. Mechi inayochezwa ni kati ya timu ya mkoa wa Mbeya na timu ya mkoa wa Kagera....hivi ndivyo utakavyoutangaza mpira....
Anakwenda pale Andendenisye...
Professor : You are a Christian, arent you, son ?
Student : Yes, sir.
Professor: So, you believe in GOD ?
Student : Absolutely, sir.
Professor : Is GOD good ?
Student : Sure.
Professor: Is...
Wanabodi nilijaribu kupitia bulogu ya muke ya muzungu nikaona anasema kwamba obagi imeingia feki nchin na yeye kama balozi wa obagi amewatahadharisha watu wasinunue na akasema obagi original ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.