Wadau wa Kagongwa Kahama - Shy tuwekeeni picha ya hako kamji ka Kagongwa!
Hiloo wee ulijua tayari mtu kisha pata ajali eeh...
Weka yako?! Unafurahi kuona wenzako wako kwenye majanga...
Nimeona tangazo la uchumba pahala likanistaajabisha.
Mambo yaliyonishangaza kwenye tangazo lile ni sehemu ya mahari na hitaji la CV.
Nanukuu "...mahari ndogo itaangaliwa...CV nzuri...
Wana JF wa jukwaa la Jokes and Udaku mpo kama mpo soma hapa urifresh you mind.
Siku moja kichaa fulani wa pande za manzese aliamua kufunga safari akaangalie kaburi la Mwalimu Nyerere butiama...
Je unaweza kutumia akili yako vizur?
Hebu jaribu hii, babu na mjukuu wake walikuwa ni wafugaji wa njiwa. Siku moja walitaniana Mjukuu; babu nipe njiwa mmoja ili tuwe na njiwa idadi sawa...
Ajali kubwa imetokea muda huu maeneo ya mikocheni dsm baada ya gari dogo alilokuwa anaendesha sisimizi kugongana uso kwa uso na fuso lililokuwa linaendeshwa na siafu. Habari zinaeleza kwamba...
Wakubwa Salama,
Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China.
Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu.
Its my first time getting into Beijing.
Thanks
BB
itv habari za saa... kijana hamisi amejinyonga jana jioni ktk hostel zilizopo makumbusho bila kuafha ujumbe
..... eeeh wasomi wa tanzaniaaa yetu jamani
Dearest Samantha,
I am very happy to inform you that I have fallen in love with you since Tuesday, the 20th of June 2011.
With reference to the meeting held between us on the 20th of June 2011...
katoto kamoja baba yake Mbunge aliwahi kuckia kauli mtaani kuwa baadhi ya Wabunge wanaongea utumbo kule mjengoni. Akamuuliza dada ake ambaye ni mschana wa kazi hapo kwao!:Eti dada kuongea utumbo...
Jamaa kaingia Bar; Jamaa: "Muhudumu, nipe
kinywaji na
mpe kila mtu humu ndani
kinywaji,
maana wakati napata
kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji." Haraka sana
muhudumu akagawa
vinywaji...
Tujikumbushe Kidogo wadau wa JF, siku ile ya Alhamisi ya tarehe 14/10/1999 mida ya asubuhi kama sikosei ulikuwa wapi na unafanya wakati Kifo cha baba wa Taifa kinatangazwa!
Hv unaweza kuta humu jf wanaoongoza kwa sredi za vituko na majibu ya hovyo hapa JF ni watu maarufu or viongozi wakubwa serikalini or mashirika ya dini or NGO's wanarelease stress. Kwa mfano Lizzy...
Madaktari bingwa kutoka tanzania,china na ujerumani walikutana kuelezea mafanikio ktk nchi zao. Akaanza daktari wa ujerumani akasema kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamuwekea ya bandia na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.