One day in the hotel room,the husband heard his wife scream, "Panya! Panya!"
He wanted to inform Room Service but didn't knew what the English word for "panya"
Si unajua mswahili hashindwi kitu...
Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani basi hatimae akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAE TAKA KUCHUKUA ACHUKUE BURE. Watu wakawa wanapita...
Ndugu zangu wanajf,naomba niwasilishe hili ombi kwenu.Naombeni hili neno 'i love u' lisitumike humu kwenye hili jukwaa kama siku 3 tu. Wengine linaturemind mambo ambayo hayatakiwi kuremindiwa...
Mimi ni msukuma toka Mwanza, nipo Dar Es Salaam tangu 2006, nimemalza Chuo Kikuu mwaka 2009 na kupata kaz hapa DSM,kaja mjombo wangu kunitembelea jana nilimpeleka Mliman City, fika pale akaniulza...
Devi: Why some of your Hair are White dad ?
Dad: Everytime A Son Makes his dad unhappy when one ofhis dad's hair turns into White..
Devi: Oooh, Now I understood Why Grandpa's Hair are All White...
Wadau natoka Dar naelekea Arusha nko na Kilimanjaro Express, kama kuna mdau pande hizi humu au kwa gari nyingine iwe binafsi au ya abiria hebu tukutane anga hii labda tunaeza onana na kwa wengine...
Tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo nilizaliwa na kuongeza idadi ya watu hapo Duniani. Si haba, namshukuru muumba kwa kunifikisha hapa nilipo. Pia nawashukuru wazazi wangu, mke wangu mpendwa...
Am a new member kwa jf:nmejikuta nawaza sana recently coz of life circumstances nmekutana nazo n kitu pekee nahitaj san ni marafiki wa kuchat nao,share topic thoughts etc kuavoid ile too much...
Jamani huyu ni kichaa waakili,namtafu kanitoroka humu jamvini.nilimuacha nimemfungia sehemu nikaenda kuongea na mods wanitafutie sehemu ya kumuifadhi kama vile kuanzisha jukwaa la vichaa lakini...
Kwa nini nakuwa na bahati ya kukutana na wanawake ambao hawaniheshimu? Shida ni nini .. Ama niwe natembeza kichapo
siongelei wadada wa hapa chit chat and JF kwa ujumla ..
Naingia kwenye profile yangu nakutana na lawyer amegoma kushangilia leo, Upande mwingine Speaker nae kaacha kutingisha kichwa, mbaya zaidi kwa Boflo, Zidane leo kaanguka yeye....lol
Najaribu...
...mjitahidi kuchunguza na msimu kabla hamjatuletea machungwa kutoka Segera.
Sasa hivi machungwa yamemwagika mjini, mpaka sh.50 unapata tunda. Chondechonde wasafiri mnaokuja kwenye sendi ofu...
Mtoto mmoja kila akiulizwa jina lake alikuwa ana tabia ya kujibu, 'Mimi ni mtoto wa Mzee John'. Mama yake akamwambia,' Usiwe unasema hivyo, ukiulizwa sema naitwa Jane John'. bahati mbaya sana...
Mwenzenuu, usiku leo silali,
Nateseka usingizi sipati huwa nabaki nahangaika,
Kuyasema yote, ninayaona siwezi, yasije yakaleta, udadisi kwa watu bure
Shahidi yangu ni mama watoto, yeye...
Nliamini wakak wa chit chat kwel ni waoga, yan ile post ya kuntokea wote walikimblia kwenye pm badil ya live.. sijapata mshindi ata mmoja ila junior. Cux ndo kidogo alionyesha moyo wa ushindan...
Utakuta mtu ameshajua kuwa saint ivuga wa JF ni nani anazunguka zunguka kuambia watu kuwa fulani ndio SI .mwanaume mzima kidomodomo cha nini? Si ukaushe unawashwa na nini? tukitaka kujulikana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.