JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mke na Mume wakiwa wamepozi veranda, haya na yale yakiendelea. Mume ambaye ni Mheshimiwa Diwani katika Kata wanayoishi. Ghafla Mhe, akamtupia swali la kushtukiza Mkewe, ikawa kama hivi ;- >...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Nawashukuru sana wana Arusha kwa kunipokea, kunikirim na kunitembeza sehemu mbalimbali. Mmeniwezesha kutalii wilaya 3 ambazo ni Longido, Monduli na Ngorongoro. Kweli nimefarijika sana kwa ziara ya...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Padri na shekhe walikutana kwenye ndege,Padri akamkaribisha Shekhe nyama ya kitimoto,Shekhe akasema sisi hatulagi hiyo nyama Padri akasema mnakosa uhondo.wakati wa kushuka Shekhe akamwambia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wanajamv, nimejiuliza kwann namba tatu inatumika sana kwenye mambo mbalimbali lakini sijapata jibu! hebu jionee mwenyewe 1. Ushindi mzur katka soka ni goli tatu kwa sifuri. 2. Mara nyingi...
3 Reactions
100 Replies
14K Views
..Kijana alikubali kuchafuka..kisa Tshirt yake ipate Autograph ....ili ampe Binti avae.. ..na jamaa akawa SHUJAA wa huyo binti... Source..Tangazo la OMO
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Madada vicheche walikuwa mtoni wanaoga, akapita babu mmoja akawauliza; Babu:Mbona K zenu hazina mav*z Malaya:Uliona wapi njia iliyo bize ikaota nyasi?! Babu:Dah!kizazi hiki cha ******...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
jamaa mmoja kutoka tanzania ameweka rekodi ya dunia baada ya kujiangalia masikio yake kwa kutumia macho yake mwenyewe.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hebu tuangalie imani zao wakati wa maziko, pale wanapokuwa wameondokewa na mpendwa wao. Kwa kawaida wakati wa Maziko Wamakonde huwa na maombi tofauti na yale yanayofuatwa na madhehebu mengine...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani nimekuwa nikisikia watu wakinihadithia juu ya Jakuzi... Naomba mnifafanulie hisia zilizopo ndani ya Jakuzi kwa maana sijawahi kuingia humo hata siku moja!!
0 Reactions
20 Replies
6K Views
natamani yaani natamani sanaaaa yaani natamani kuwa.........yaani masela natamani eti mademu je mpo?mi natamani je wewe hapo ulipo unatamani nini?
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Jamaa yetu alitoka bar akiwa hoi kwa kilevi, hajaenda mbali bodaboda moja likataka kumgonga akakwepa kushoto likapita, hatua chache nyingine bodaboda nyingine ikataka kumgonga akakwepa kulia...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Ni mwalimu wangu ambaye amenifundisha darasa la kwanza, ni kipindi kile ambacho tulikuwa hatupitii shule za awali tulikuwa tunaanza shule ya msingi moja kwa moja. Nilimpenda sana huyu mama na...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
تبتب حب جبجب طبحبةشأغب جةشأغ&#1582...
1 Reactions
66 Replies
4K Views
hichi kipindi kinafurahisha sana kwa wanaongalia, but kwa wahusika wanaowafumania wapenzi wao ni huzuni kubwa, ingekuwaje kungekuwa na kipindi kama hichi hapa TZ?
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Jamaa mmoja alikuwa anakula uroda na demu,mara akakojoa akatulia kwenye kifua cha demu,demu akamwambia si umemaliza kukojoa mbona umetulia?akajibu nasubiri kunya.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
walevi watatu walipanda kwenye tax,basi dereva tax alipoona jamaa wamelewa akawasha gari na kuizima kisha akawaambia tushafika...mlevi wa kwanza akalipa nauli,wa pili akamwambia asante sana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Njoroge alienda kijiji X kwa malengo ya kununua nyani. Alikuwa ananunua nyani mmoja kwa sh.10000.Watu kibao walivamia mapori kukamata nyani na kwenda kumuuzia huyu bwana.Baada ya wiki 2,wauza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
aisee..kidhungu kitamuu!!
1 Reactions
19 Replies
2K Views
1. Ukisoma hapa wewe ni mjinga. 2. Ukiacha kusoma wewe ni malaya. 3. Ukikomenti basi wewe ni ........
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakumbuka nlipokuwa mdogo enzi hizo nliwahi kukata godoro lakulalia urefu ili nikilala niwe sawa nalo mbona wakubwa wenyewe wakilala wanafika mwisho, icho kipigo nlichopewa na mshua usiombe! WEWE...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Back
Top Bottom