JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
UTAFITI: Asilimia 70 ya vifo vya wanawake duniani vinatokanana ukatili wa majumbani. Usaliti katika mapenz fedha, chakula na hamu ya mapenzi vimetajwa kuwa miongoni mwa sababu za kuwepo kwa...
0 Reactions
3 Replies
288 Views
Watu wengi hupendelea kurudi makwao, hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. Wengi hurudi vijijini ambapo ndipo chimbuko lao lilipoanzia, ili kusherehekea kwa pamoja; wapo wanaochinja...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Mwaka X bwana Jioni Mida ya Saa Moja na Nusu ivi Niko zangu kwenye harakati za apa na pale.Kidogo kojo likanibana. Nkaona kwenda toi nilipie mia2 jau wakati kuna uchochoro nakojoa Bure. Muhuni...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Majibu [emoji116]
1 Reactions
10 Replies
553 Views
Je, kati ya baiskeli mpya na iliyotumika ipi ni bora...?
1 Reactions
5 Replies
327 Views
Habari wakuu..... Hii iwe Ni Special Thread Ya Vita Ya Wanaume Wa Dar Na Wanaume Wa Mikoan Hapa tupigane vijembe tusemezane Na Utani mwingi kira mtu Atete upande wake kwa Hoja, Vijembe...
1 Reactions
86 Replies
9K Views
Kwema wadau? Kutokana na ubize wa Maisha nilionao, ni jana tu ndio nilipata nafasi ya kwenda kushuhudia michuano ya kombe la dunia kwenye uwanja wa Khalifa International Stadium licha ya kuwepo...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Sababu huwa nini na umuhimu wa kuficha ninini? USSR
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Jana nimeingia pande za dance club sijaona hata mtu ambaye anazungusha round kila mtu kabia kimoja tu, nikawanajisemea mwenyewe kweli hali tete. Basi nikaagiza mchemsho mbili na round mbili za...
2 Reactions
5 Replies
557 Views
Wakuu kama kichwa cha uzi kinachoeleza najiuliza je ipi ina thamani kubwa na inaugumu zaidi kuliko kingine kati ya Kuweka rekodi na kuvunja rekodi!!!?
0 Reactions
3 Replies
490 Views
Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia. Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
1 Reactions
5 Replies
484 Views
Wale ambao tutafika mbinguni tukiwa tumechoka tukutane hapa 1. Kumnyandua mke wa mjomba tumbo moja na mama,staisahau hii dhambi, Mjomba aliniomba nimpe kampani mke wake wakati akiwa amesafiri...
16 Reactions
247 Replies
24K Views
Kila mtu huwa anaota na inawezekana kuna wakati mtu unaeza pitisha siku kadhaa hujaota, unalala muda fulani na kushangaa paap, ushaamka. Sema sasa kwa kweli kuna ndoto zingine ni uongo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Eti kwani hatuwezi kabisa kuzingatia muda? Nini kifanyike? Au mpaka rais aingilie kati ndipo tubadilike? Karibuni. Uzi tayari.
2 Reactions
8 Replies
423 Views
Gone are the days I used to hit the bottle like you. My untold addiction hardly made me push through. Been through sleepless nights and restless days, with nothing to do. Painful mockery from...
2 Reactions
1 Replies
310 Views
Je, haya maneno yanareflect uhalisia wa maneno yanayosemwa huko mtaani?
1 Reactions
3 Replies
509 Views
JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni. Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho...
23 Reactions
83 Replies
3K Views
Heeeeeeeh Kila nafaka imepanda bei, sukari imepanda bei. Mnataka mtuue pole pole? Sia afadhali mtunyonge. Ndiyo. Afadhali mtunyonge tujue moja.
1 Reactions
2 Replies
340 Views
Si ni life.. Nyakati kama hizi wapo wanaelekea kulala au wamelala tayari.. Wengine wamelala kama panga, Wengine wapo na wapenzi wao wanapasha vitanda joto. Wengine baridi inagonga kama...
1 Reactions
7 Replies
352 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…