JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
.... Sina nia mbaya na mtu hapa... Ila nahitaji jihusisha na hili... Simaanishi kwamba wewe ni jobless au unakaa bure... NO. Kongosho, ErickB52, Bagah, ... etc.. Hawa ni mfano tu..unaweza...
0 Reactions
84 Replies
6K Views
  • Closed
Ndugu zangu nasoma gazeti moja hapa loh kunamwanakamati mmoja alieshiriki na kuvaa makoti meusi kwenye mciba wa kanumba ameonekana jana mara ya pili akizunguka zunguka kwenye show rooms za...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwanza sitafanya kama wengine wengi wanavyopendelea harusi ziwe za namna gani, ya kwangu itakuwa kama hivi: 1. Chakula- Mihogo za kukaangwa na za kuchemshwa. Nyama za kuchoma...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Mama mmoja alikwenda na mjukuu wake wa 3yrs Supermarket kufanya shopping shoprite. Alipokuwa kwa counter kulipia, mjukuu wake akaanza kushikashika pipi na chocolate. Ikabidi mama amkanye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BAGAH Amyner Cantalisia Smile Rejao Husninyo sweetlady1 Smiling Saint Erickb52 Kongosho Asprin. Yeyote atakayefanikisha watu hao kupatkana atapata donge nono. Watajwa hapo juu wanashtakiwa...
1 Reactions
179 Replies
8K Views
Shoga alienda kwa mganga ili apewe dawa ya kuacha ushoga na aweze kusimamisha mganga akamuandikia wimbo wa taifa shoga kwa hasira akamuuliza mbona umeniandikia nyimbo ya taifa mganga akamjibu hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukiwa muongo uwe makini... Jamaa mmoja alijifanya baharia akawambia watu aise nimezunguka bandari zote duniani kuanzia China, Africa yote ulaya marekani nk. Akaulizwa kwahiyo UNAIJUA SANA...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo nimefulia bandugu.Sina salio kabisa kama una salio simuni kwako basi nihamishie hata 100 tu.Msema ukweli mpenzi wa mungu na kuiba dhambi.Namba yangu 0762 698 698.
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Niko huku kikazi na nimebahatika kutembelea miji kadhaa kati ya hiyo hapo chini. Baragoi Bungoma Busia Butere Dadaab Diani Beach Eldoret Embu Garisa Gede Hola Homa Isiolo Kajiado Kakamega ·...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wazee wawili walikuwa kwenye ubishi mkali kila moja akitetea kuwa mwanae ndie mtoto mjingakuliko wote duniani, ubishiukawa mkali mwishowe mzee mmoja akamwita mwanae, 'We ngeli njoo' , mwanae...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mtu yeyote ambaye anakufanya ucheke mara kwa mara unapoona michango yake hapa JF. Nani unapenda aingie kwenye kinyang'anyiro hiki. Binafsi namtanguliza BUJIBUJI. ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
http://www.voanews.com/swahili/news/Sunday-magazine/Mdundiko-Ngoma-yenye-jazba-100138659.html Hebu tazameni Ngoma hii ya Mdundiko, iliyorekodiwa miaka ya 80s, enzi hizo mdundiko ukiwa ndio...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Tangu mji wa Foco ulipoanzishwa karne ya 6, na baaadaye kulibadilisha badilisha hadi kubakia F*cking, sasa wakazi mji wa wakazi huo wameamua kubadilisha jina. Hivi karibuni jina la mji huo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wan JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa kutosha tu, karibia miaka 30 kasoro 1. Kila kona, kila siku, kila mara stakeholders wananiuliza "unaoa lini?". Nimechoshwa na hili swali kwani kwa sasa chini...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
kuna list kibao ya novels za kiswahili na kiingereza zilipendwa enzi hizo za secondary, me binafsi naikubali sana Kiu ya Haki ya akina Mzee Toboa Mambo, iliyoandikwa na Zainab Mwanga, halafu ya...
0 Reactions
157 Replies
12K Views
Mother-in-law vs Daughter-in-law Mother-in-law(MIL): My son should listen to me and obey my instructions, except if he did not suck this breast of mine for over 2 years...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ticha mmoja kijijini kwetu alikuwa akijitambulsha kwa wanafunzi baada ya kupangiwa field katika shule ya kijiji, 'My name is Teacher Juma. I will be with you for 1 moon. I need your union'!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamaa alinunua bangi akaenda nayo chumbani na kuanza kuvua nguo zote,kazima taa kisha akaanza kuvuta,baada ya muda akaona sio kali hivyo akavaa nguo gizan bila kujua kavaa sketi na blauz ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
A young Technician and his General Manager board a train headed through the mountains. They can find no place to sit except for two seats right across the aisle from a young woman and her...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
o Do fish get thirsty? o Do stairs go up or down? o If you take a shower, where do you put it? o Would a fly without wings be called a walk? o If a criminal turns himself in shouldn't he get...
0 Reactions
6 Replies
867 Views
Back
Top Bottom