JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
bibi mmoja mkazi wa mbagala baada ya watu kugombea basi kama kawa,bibi aliingia na kupata siti.....kwa furaha alijikuta anatoa machozi,konda akamuuliza"bibi mbona unalia?"bibi:nimekaa mbagala...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
mwanajesh 1 alikwenda kusomea ukomandoo nje ya nchi,pamoja na masomo pia alijifunza vitu mbalimbali vipya ikiwemo tongue kiss.alvorud akaanza kumkiss mkewe! mke:bhabha bhoke tangu umetoka uraya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hz nyimbo nyingine bwana, eti "kasimama peke yake, amemuona mchumba wake". Katoka mr nice na nyimbo za watoto, asa hv 2tackia nyimbo za maua mazuri yapendeza, me ntatoa yangu ya "mabata madogo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Na Mashaka Baltazar, Mwanza MCHUNGA ng’ombe, Johnson Abdul, mkazi wa Sweya Nyegezi, katika Kata ya Mkolani, wilayani Nyamagana Jijini Mwanza, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wazee wawili walikuwa kwenye ubishi mkali kila moja akitetea kuwa mwanae ndie mtoto mjingakuliko wote duniani, ubishiukawa mkali mwishowe mzee mmoja akamwita mwanae, 'We ngeli njoo' , mwanae akaja...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kuna hoja imesemwa bungeni sasa hivi na mmoja wa wabunge kuwa kuna mapepo yameingia bungeni hata kupelekea ufisadi wa baadhi ya mawaziri na wengine kuutetea. Ameomba waalikwe mapadri na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
A lady went to the store to buy a parrot and asks the sales person "What's so special about the parrot ?"Sales person" this parrot can talk" So the lady asks the parrot " how do i look?" The...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Two college time friends met after a long time. One asked the other, "I heard you ran away out of town with your lover girl and married her.?" The other said, "Yes, true." The first...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Nawatakieni usiku mwema wanajamii forum wooote....................................................., isipokuwa wale wanaofanya kazi ya ulinzi.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Zuzu alikuwa anaumwa, akaamua kuiweka picha ya doctor kwenye ukuta wa chumba chake. Ghafla akatembelewa na ndugu zake kisha wakamuuliza hii picha ukutani ni yanani? Zuzu akajibu: ni doctor wangu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alifall in love na dem flani. Asijue ataanzaje, akaenda kwao akampata yuwafua chupi.Akamwambia amletee maji yakunywa. Dem kuingia ndani, jamaa akainua ndoo na kunywa maji yaliyorowekwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mdogo wangu wa kike kakileta nyumbani kibabu, anakitambulisha eti ndio mchumba wake. Wenyewe wanataniana bila ya kujali tofauti yao kubwa ya umri. Nilimsalimia shemeji mambo vipi, akaja juu eti...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu waziri nae kazidi kupenda dogodogo,sijui anapata raha gani kwa watoto under age Sheria za makosa ya jinai za kubakana ipo wazi kabisa.......kinda ni yule ambaye hajafikisha miaka 18 na...
0 Reactions
132 Replies
10K Views
Ubingwa bye bye,nafasi ya pili bye bye, klabu bingwa afrika bye bye,kombe la shirikisho bye bye.. Mtakuwa watazamaji mwaka mzima, kudadadeki!
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Te Amo, Asprin, Kwinini na wanachama wengine wote mko wapi, mbona kimya sana?
0 Reactions
12 Replies
937 Views
Wadau, hivi hili valangati la sahihi sabini lingekuwa chini ya bwana 6 ingekuwaje? Maana pamoja na tuufisadi twake ila alikuwa anaangalia wengi wanasema nini. Na kichwa cha habari kingesomeka...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Mchina mmoja alienda sokoni kununua doriani ila hajuwi doriani linavyoitwa kwa kiswahili na maongezi yalikuwa hivi:- Mchina: jambo? Muuzaji: sijambo karibu. Mchina: mm nataka ile kitu tamu lakini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sina hamu na majukwaa mengine, lakini kila nikipita Chit-Chat nakuta topic zile zile. Nimewaletea hii 'brand new', ndio kwanza nimeifungua kwa box, na waranty card inayo. Karibuni!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Refer above a heading. kama umejuwa Qn. jibu au chapa lapa. Ahsanteni kwakuwajibika na JF. Himezaminiwa na VODACOM TANZANIA
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama jukwaa la Chit Chart likifungwa na MODS.......................!
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom