kuna jamaa alikuwa anaumwa na figo akaenda hospitali. Alipofika akakutana na dokta akamueleza ugonjwa wake!
Sasa Dokta akaamua kumbadilisha figo.
Sababu alikosa figo ya binadamu, dokta akaamua...
Tonight its drumming on my corrugated iron roof softer than the of coo a dove, its drumming ,its raining all over the land, i turn over and settle to a sleep of the innocent and free. Usiku...
Kichaa mmoja alikuwa wodini na wazee wake na maongezi yao yalikuwa hivi:- Kichaa: Naikumbuka siku ya harusi ya wazazi wangu yani sitoisahau maisha kwani ilikuwa siku yakufa namtu, Mama...
Leo Zitto Kabwe alipokuwa akisoma hotuba yake ya kamati ya mashirika ya UMMA badala ya kuprint makabrasha luluki yeye alikwenda na IPAD yake na kuanza kusoma huku akibofya. Najaribu kufikiria ni...
Naamini katika jamvi hili la JF kuna watu wenye vipaji vingi na vya kila aina, wengine wana vipaji vya ufundi wengine kuigiza wengine kuimba n.k. Leo ningependa wana Jamii Forums wote tushare...
Mimi sijambo...hofu kwenu nisiyewafaham...
nimepata wazo,baada ya kuona mitandao mingine wana tshirt zenye majina ya mtandao husika...kwa mfano facebook...
nikawaza je si vema na sisi...
Mods chonde chonde msi imuvuzishe hii thread yangu kutoka humu MMU coz naamini kabisa hili ni jukwaa sahihi kwa post yangu lol.
Ni kuhusu mahusiano yangu na JF, yani JF idumu milele coz hii ni...
Hv huyu jamaa cjui kapotelea wapi, ni mda cjamckia, cjui ndo likizo, mana me ni m2 wa kuangalia sana taarifa za habari, asa hv namckia Emmanuel Buhohela.
Nafikiri kila mtu anaangalia kinachoendelea bungeni yaani lugha ni taaaaaaaaaaaabu, kwa nini wasitafute utaratibu wa kutumia lugha adhimu ya kiswahili maana hii ni shida.
Yes, you have been warned! Do not press this red button even if you really want too. Just don't do it! But, we are for certain you will anyway.
"RED BUTTON"
Kila mtu ni kielelezo kwa watu wengine. Kama wewe ni maskini ni kielelezo kwa wengine kwamba umaskini mbaya, na ukiwa tajiri ni kielelezo cha uzuri wa utajiri, kama mzee anachapika ni kielelezo...
mi binafsi napendelea morogoro kwanza naona upo centre ni rahisi kwenda pande mbalimbali za nchi, sio poluted kama dar na hali ya hewa moderate. wewe je?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.