JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Natafuta English course manake siku si nyingi nina intavyuu, itarushwa laiv kwenye media coz ni kitengo nyeti, panel itakua na idadi ya watu kama MPs. Niokoeni ili nisije nikajitemesha tonge kama...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
mwenye udaku, umbea, uchonganishi, uzushi, majigambo, mipasho, dukuduku, atoe hapa leo kwa sababu hatapata ban hata akitukana. ofisi za jf wote jicho kwa luninga bungeni. Mimi naanza kuna...
3 Reactions
63 Replies
4K Views
Bofya hapo chini Painful Cake - YouTube
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Girls like BIG, WHITE, CLEAN teeth....and fresh breath!.! jitahidini wajameni!..
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ktk maisha ukiweza tu kupata hela na mapendo na amani basi yani hapo sasa ndo kutakuwa na maana ya kuwa na maisha sasa tofauti na hapo ukikosa vyote basi bdo maisha huja yapata na ndicho...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
kuna jamaa mmoja alichukua demu na kwenda nae gesti, kufika gesti demu akavua nguo zote na kisha kumwambia jamaa kuwa bila elfu 10 hapati kitu...du jamaa akapagawa akaanza kujisachi zikapatikana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ingekuwa vipi kama Mungu akawaondoa wanawake wote ktk uso wa dunia. wanaume wangeishi style gani ya maisha? ukizingatia kuna baadhi usafi kwao unasababishwa na wanawake
0 Reactions
6 Replies
942 Views
Wadau tuliokuwa shule enzi hizo mambo ya UMISETA yalikuwa na msisimko wake. Unakumbuka nini enzi hizo: MPIRA WA MIGUU Michuano ya watani wa jadi: Mkwawa vs Tosa; Mazengo vs Dom Sec; Uyui vs...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Umeme unaingia pande zote kiuchumi na kisiasa ndio maana kuongezeka kwa mgao usio na kikomo shilingi yetu inashuka thaman na wala hakuna mpango wowote wa kuipandisha sasa ivi KIGOMA ni mgao...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Leo ni leo, asemaye kesho mwongo..
0 Reactions
29 Replies
2K Views
A Russian woman married a Canadian gentleman and they lived happily ever after in Toronto . The poor lady was not very proficient in English, but did manage to communicate with her husband. The...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Katika hali isiyokua ya kawaida mshirika mwenzangu katika mishemishe za ujasiri wa mali na kuongeza kipato, alikua amefungua salon ya kunyolea nywele. Salon hiyo ipo mjini kati , ghorofa ya 3...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
baada ya kufurahia sana huko Serengeti na Ngorongoro sasa nimerudi Kwa ubalozi wa B52, WENYEJI MPO?
1 Reactions
58 Replies
3K Views
Kiwango cha elimu: kianzie darasa la saba jinsia: yoyote zingatia:uwe mvumilivu. madenti waliojiandikisha tayari no.1 Anne M.kinda no.2...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu ni mtazano tu msijenge chuki, na maneno yangu sio sheria. Hizi ni zile zilizobamba hasa kitaa. OPRAH VS NDIKU KATAU Dah! kama utani vile alichokiunganisha mola waja wakakitenganisha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama ni wewe ungefanyaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nakaribia karibia mitaa ya kwenu.... sorry hivi Bishanga pia yupo?
0 Reactions
49 Replies
3K Views
  • Closed
Jamaa mmoja alikuwa anapenda sana kujisaidia muda wa usiku, hiyo tabia mkewe alikuwa haipendi kweli mana ye ndo msindikizaji. Cku moja kama kawaida jamaa haja imembana, akamwamsha mkewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanaume kuvaa stilettos shoes kama wanawake. Kazaky - Love (Official Music Video) - YouTube Dunia imekwisha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jaman unajua kama ulikuwa au unaangalia bunge sasa hv,utacheka 2,lugha ni ngumu mpaka kwenye mackio inawasha...the the to to dah zmejaa kwa baadhi ya wabunge mpaka nomer.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom