JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu mambo ni magumu aisee, Disemba bakini huko huko mjini kwenu! Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
4 Replies
482 Views
Suala la kukataliwa limewafanya wavulana kutotetea uanaume wao wakidhani kuwa, hapo walipo ni kwa neema tu na si uwezo binafsi. Unakuta mvulana anachapiwa mbususu yake aliyoitolea kodi, ila bado...
2 Reactions
7 Replies
382 Views
Tigo mtabaki kuwa juu, juu mbinguni yani leo mmejua kunifuta machozi ya bando lililo juu juu angani, yani haya maumivu ya bando ni zaidi na sindano ikipita kwenye ukucha. Nirudi kwenye mada, leo...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Hayo yamependekezwa na mshauri wa ufundi wa Argentina fc kupitia wizara ya michezo na burudani baada ya kuona kiwango cha messi na wachezaji waandamizi wakishindwa kuifunga hata saudi arabia huku...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Si juzi tu TBC wamepiga pang'ang'a mingi kwamba oooh, wanaonyesha wedi kapu....mbona tunaambulia kuona Muheshimiwa akifungua ma project ya mwendazake? Halafu najipata nimeshikwa na hasira maanake...
3 Reactions
12 Replies
628 Views
Yaani kwa mfano unasema tu Ubungo hakuna umeme, halafu unasema hayoooooo matanesco hayana maana. Yaani yazomeeni ili mmalize hasira zenu zote sababu yanakusanya kodi na huduma ni mbovu miaka 60...
1 Reactions
16 Replies
536 Views
Toka nizaliwe sijawahi sikia mtu akiitwa Delila. Kwenye delta ya mapenzi anaweza kuwa hatari sana au inakuaje wakuu?
0 Reactions
14 Replies
667 Views
Nataka kununua iPhone 12 Pro Max au S21 Ultra, je ni bora niagize nje (eBay) ama ninunue tu Makumbusho?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ngoja niwape stori, mwaka juzi tulitoka Dar kwenda Tabora kufanya biashara ya kuuziana gari ambayo ilipostiwa humu humu JF. Tukafika Tabora tukaiona gari tukarizika nayo, tukapana, tukailipia...
3 Reactions
5 Replies
633 Views
Habari, Leo siku yenu wanaume, mbona hakuna shamra shamra or are you are unaware of the International Men's Day? Ama mpo bize kutafuta alfu tatu. God Bless all men who try, who are there and who...
3 Reactions
9 Replies
487 Views
Jiwe lililokua linanisumbua kwenye figo toka tarehe 04/10/2022 hadi leo, hatimaye nimelikojoa muda huu.
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri, lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya. Nimetangaza dau la laki...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu. Mpira una mashabiki maelfu kwa kwa mamia, miongoni mwao mimi sijabahatika kuwemo. Dah alieniroga, hakika sijuwi nimwambieje! ~ Ukiwa na mimi ukaleta habari za...
0 Reactions
2 Replies
596 Views
🚸 Yanga 4 - 1 Singida - Bahasha. 🚸 Simba 4 - 0 Ruvu - Chama noma.
0 Reactions
2 Replies
414 Views
Utani wa Ngumi huu.
1 Reactions
1 Replies
532 Views
Si vibaya mtu ukikumbuka ulipotoka. Nakumbuka siku ya kwanza kukanyaga Pugu ilikuwa tarehe 5 mwezi februari. ilikuwa ni siku ya mapumziko (public holiday), siku ya kuzaliwa CCM(Kwa miaka hiyo...
2 Reactions
57 Replies
13K Views
There is a Race, I must Run There is a Victory to be Won Give me Power, Every hour To be true, Ooh Lord #11YearsOfVictory #19thNevember2011
17 Reactions
85 Replies
4K Views
Sehemu ya kwanza Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019, kipindi hicho niko chuo mkoa wa Mbeya katika harakati zangu za hapa na pale. Mimi nilikuwa ni mtu wa kwenda sana klabu kupata mbili tatu za hapa...
1 Reactions
19 Replies
714 Views
1 Reactions
5 Replies
410 Views
Ni hivi kuna jamaa yangu mmoja kaja kunishauri ooh unajua kaka una matumizi mabaya ya fedha kwahiyo nakushauri uanze kuweka akiba ili ikusaidie baadaye. Mwanzo nikaona ana point ila nilivyo kaa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…