Ndugu wana JF nimeamua leo ni-rest in peace mapema, kwanini nimechukua uamuzi huu? Kwa sababu niliamka mapema sana, saa 11 asubui nikaenda mazoezini, halafu baadaye nikajiandaa kwenda kazini...
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao.
Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu...
Salamu kwenu ndg wanaJF,
Leo nimeona niwashirikishe baadhi ya dawa za mapenzi wanazozitoa waganga wa kienyeji ili manzi flani akukubalie kinapenzi.
Utafiti huu niliufanya kwa mtaalam flani.Mteja...
Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo siyo zangu.
Jamani siyo kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema.
Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi...
Katika hali isiyo ya kawaida, nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninayemuadithia anabakia kucheka tu.
Leo jioni nikiwa natazama mpira huku nachezea...
Hii sijui tuseme ndiyo kwenda na mabadiliko ya teknolojia ama vipi, sasa hivi wadangaji wengi wanamiliki hizi line za lipa kwa M-Pesa, kwahiyo hata kama ukitaka kumla na huna pesa taslimu...
Tuko zetu (maeneo flani hivi) leo siku ya 9 bila kuoga! Kwakweli hii hali iko kibabe zaidi, japo sijaona tatizo lolote kutokana halii hii. Je wewe umeshakaa hata 3dys? kuna tatizo lolote ulipata...
Simba ndiyo mnyama mkubwa kuliko wote katika jamii ya paka. Simba hupatikana Afrika na Asia, idadi yao ikitizamiwa kufikia 23000(elfu 23), huku Tanzania ikiongoza kwa kuwa na idadi ya zaidi kuliko...
Watu wengi mmekuwa mkitumia pesa nyingi kuweka bando wengine mkikosa bando mnakuwa wapweke sana leo nitakufundisha jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii bila kuwa na bando[emoji91]
KUNA NJIA TATU...
Kwanza kabisa naomba kueleza moja kwa moja kwamba sina nia ya kuzusha mabishano, napenda mjadala huu uwe positive sababu ni kitu ambacho nimekishuhudia live.
Nikiwa kwenye bajaji ya kutoka Mbezi...
Habari ndugu wajf. Kwa ujumla maisha Yana ladha na mitindo tofautitofauti, hapa kwetu uswahili panaitwa mji mpya Kichangani Manispaa ya Morogoro, Pana maisha ya kipekee Sana ukiachilia mbali...
Muda Kama huu huwa mzur Sana ukiwa na mwenza wako mnafarijiana na kupanga mipango yenu na ya familia kwa ujumla
Changamoto unakuja kwa wale ambao tupo single,tunajawa na mawazo na pressure...
habari. kuna audio flani hivi nliwahi kiskiliza mwaka juzi ya kichekesho cha mkurya aliyewrong number kwa mdada asiyemjua then akamtongoza akakataliwa akaambiwa akate simu akakataa akaanza...