Ninasoma kila thread ili nijifunze, sio ili nibishane. Kuna watu wanaandika kama comedy, ila thread zao zina mafunzo mengi sana.
Usichukulie poa thread kwa sababu ya title iliyo beba, soma ndani
Sauti za kike zinasikika zikiimba maneno yafuatayo
"Ni wajibu wetu kumshukuru Mwalimu nyerere,ni wewe ulianzisha umoja wa taifa,ni wewe ulianzisha cha chetu tanu"
Wakuu hayo Ndio maneno...
Aisee umenenepa sana.
Aisee umekonda sana.
Aisee hivi upo wapi saivi?
Dah...hivi kama ni kukonda au kunenepa mimi sininajifahamu tokea nimetokea nyumbni asubuhi...kuna watu huwa Wana kauli na...
Ukikutana naye cha kwanza ana sikiliza shida zako vizuri. Halafu anakuuliza vipi umejaribu mara ngapi kutatua hizo shida zako kabla ya kunifuata?
Una jibu, halafu anakwambia ukweli kuwa...
waungwana, wastaarabu, jamani ile picha niliyokuwa naitafuta usiku na mchana humu JF hatimaye nimeipata, hii hapa.ππππ
Sasa muwe makini sana wakati mnaandika uongo wenu.
πππ
Kama unafikiri Dunia hii umeona kila kitu, hapana. Ona hii;
"Aliyeokoa anaenda kufundishwa uokoaji na waliyoshindwa kuokoa."
'Made in Tanzania'. [emoji1241]...
"NITUMIE BASI PICHA ZAKO!!"
Hii ndio kauli pekee Ambayo mwanamke anajua kabisa anatongozwa na chizi!!πππππππππππππππ
Serikali inaweza kukubana ukawa bize kulitumikia taifa na kutusahau wana humu JF. Tuendelee kuwakumbuka na kuwaita malejendari kadhaa ambao waliwika katika majukwaa mbalimbali kipindi fulani...
Jamii forum ina majibu ya kila swali , kuanzia maswali ya msingi mpak ya kijinga yote Yana majibu sahihi kupitia JF, mtandaoni sa hv ni vurugu mechi.
Kila Kona ni meme za "AFTATU " ndo...
Tanzania inafuatilia kwa karibu sana mwenendo wa matukio yote katika uchaguzi wa nchini Marekani ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka na uchaguzi huo unakuwa wa ni huru na wa haki.
Tanzania...
Dear: KatungeWake
You mean the world to me, I love you beyond belief, and you make me happy every day. I am the luckiest person, knowing I have you. I can't believe we have come so far. When I...
Utakuja Kwangu GENTAMYCINE na Mchango wako tu wa Shilingi Elfu Hamsini ( Tsh 50,000/= ) tu kisha Maelekezo yafuatayo yatafuata Kwako.....
1. Kuna Fomu utajaza aina ya Kazi ambayo utaiweza na hasa...
Furaha iliyoje baada ya juzi juzi hapa kama siku chache zilizopita, nilimpigia simu mpenzi wangu kwa kutumia simu ya rafiki yangu. Alipokea simu tu na kusema "Mambo baby wangu" tena kwa sauti...