JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Washikadau, Katika hili sihitaji kulitolea Source wala ushahidi. Kila Member ni Sourcer kutoka katika mazingira anayoishi. Anzia huko tunakokuita Dunia ya kwanza , ya pili, ya 3 , na...
0 Reactions
39 Replies
2K Views
Hii imetokea leo tarehe 2 machi 2012 karibu na Millenium Towers, Old Bagamoyo road
2 Reactions
0 Replies
959 Views
Naona kila siku ni wahaya,wachaga,wanyakyusa,..Lakini mbona kuna makabila mengi bongo.Hebu tusaidiane yale yanayo watambulisha hawa kina mkude na kina mwenda...anayewafahamu au kuwasikia...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Namshukuru Mungu kuona niko tayari uraiani, namtafuta my wife wangu jamani aliyemuona amwambie tayari Nitty karudi uraiani. Kaka angu Bishanga uko wapi, kongosho, my lovely sister Kabakabana i...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
Hii yangu sikui niite fedheha ama la... Ingawa waliokuwepo waliichukulia kama mzaha wa mhusika,nadhani ni katika kupunguza kiwango cha fedheha kwao we yewe.. Mwaka 1999 nilikuwa katika...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu wana jf shimo la panya halizibwi na mkate maana ndo kitakuwa chakula cha panya huyo huyo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau hakuna asie tambua uwepo wa makahaba, serikali inatambua uwepo wa biashara hii haramu lakini hakuna juhudi za kuipinga tafsiri yake ni kwamba wameiruhusu, je nani awatoze kodi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Where are you lizzy?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TOTO:Mama unajua hausigel wetu ni malaika? MAMA:Kwa nini unasema hivyo? TOTO:Jana nilimuona ameshikilia ukuta akiwa uchi na mikono ameinua juu anaongea na Yesu anasema... Ooooh yesu wangu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tabia ya wasichana kuomba omba vocha "Honey, simu yangu haina credit, naomba uniongezee..........." Ningekuwa kidume ningewajibu "Pambaf....... kamuombe baba yako" Wewe ni tabia gani inakukerai?
2 Reactions
71 Replies
10K Views
Basi j2 hii 2kiwa katikati ya ibada, nlikuwa nimekaa na jamaa mmoja hivi pembeni yangu, tukiwa tunaendelea na ibada akaja jamaa m1 akakaa karibu na jamaa yangu, jamaa akawa ananuka fegi vibaya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini, mkulima mmoja akasogea kuwacheki akaamua kuwazika wote. Polisi walipofika wakamuuliza zipo wapi maiti? Mkulima akajibu, nimezizika zote. Polisi wakauliza...
1 Reactions
2 Replies
814 Views
Ktk harakati za maisha ya mjini, wengi wetu tunaanzia (pengine kuishia) maisha ya kupanga. Na ktk lyf stail hii, kuhama mtaa mmoja kwenda mwingine ni jambo la kawaida(coz wenye haus wengne ni...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
wakuu mnaweza kunifafanulia eti inakuwaje wadhungu wengi duniani wanatumia mikono ya kusho?waafrika wanaotumia ya kushoto ni wachache ukilinganisha na weupe
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Muda mrefu sana watu walikuwa wanajiuliza hv mheshimiwa mama makinda hana nywele kabisa coz mda wote yeye style yake ya nywele ni moja tuu ya kuvaa wigi wiki iliyoisha ameonekana jimboni kwake...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi najiuliza cpati jibu wana sayansi na wataalam wa baiolojia ya mfumo wa chakula naombeni jibu haja kubwa inatokana na kula chakula tuu je kama hujala chakula huwezi pata jaha kubwa kabisa? Na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sex is like NOKIA (connecting people) like NIKE (just do it) like PEPSI (ask for more) and like SAMSUNG (everybody is invited) Ongeza basi wewe…:welcome:
0 Reactions
29 Replies
4K Views
RAIS wenu ninawasalimu katika jina la JF. baada ya miaka mingi kwenye za kupanga hatimaye nataka kujenga.sasa nimepata kiwanja maeneo ya tabata kinyerezi kwa bei nzuri na kipo eneo zuri pembeni...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika mwili wa binadamu tunavyojitambua kuna kitu ambacho kimepewa majina mengi? Kama huelewi basi hembu angalia hapa chini uone ni kitu gani haswa ni kwa wanaume na baadhi kwa wakina mama...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Closed
Mheshimiwa sana, Pole na Majukumu. Kawaida ya binadamu makini na mahiri ni kuthubutu kufanya kile anachoamini ni sahihi.Kuikweli mtazamo wangu kuhusu wewe Mheshimiwa ingawa ni wa kiharakati...
0 Reactions
71 Replies
10K Views
Back
Top Bottom