1.Umefanya kazi kwenye kampuni miaka saba na hujapandishwa cheo.
2.Unafeli hesabu,english na kiswahili pamoja.
3.Ukiwa polisi halafu unaonea raia.
4.Kama gari lako mwuda mwingi lipo garage...
Baada ya kulewa chakali na
rafk yake mpya aliyempata
bar, mlev akamkarbsha
rafk mpya akapaone
kwake, walipofika
mwenyeji akaanza intro ...unaona makochi
yale, ni makochi yng, njoo
jikoni...
sikiza mazungumzo ya baba na mwana
baba.. we mtoto umekuwa huna adabu
mtoto.. baba usinizengua kwani kama vipi naweza kukulipa malezi yako toka unzae
baba.. we mtoto una pesa ya kunlipa mimi...
True story.
Ni mtu mzima alitembelewa na baba mkwe wake (mtu mzima unaelewa kuwa ana watoto wakubwa).
Sasa ukafika wakati wa chakula.
Baba mwenye nyumba (mtu mzima) akamwambia mkewe apakue...
Baada ya Zuzu kumaliza kozi ya uchungaji na kufanya kazi kwa muda, siku moja akakutana na wachungaji wenzake 2 wakaamua wafanye toba wenyewe maana kila siku wanawafanyia toba waumini wao.
Basi...
A man was brought before the judge and charged with Necrophilia.
The judge said to the man, "In the 20 years on the bench, I've never heard such a disgusting, immoral thing. Just give me one good...
{Mtoto wa nyoka}~Hivi mama sisi ni aina ya nyoka wenye sumu au hatuna?. {Mama nyoka}~Kwanini unaniuliza hivyo mwanangu?. {Mtoto wa nyoka}~Nimejing'ata ulimi wangu.
dah, ujana ule na wengine uzee upeleke kwa mwingine.
Mihela utumbue na wengine, umaskini uniletee mie.
Inahusu? Nikome babu wee
utasugua benchi sana mwaka huu, hata hela ya dala dala huna...
Ebwana mambo vp?dah!kama dizaini kitambo sijazama pande hizi.Autuseme sija post ***** humu Chitchat,ebwana leo ndo kijana mwenzenu,au mtoto wenu au mjukuu wenu au ata mtoto wenu piya,ndo nazariwa...
Members,
Limekaa moyoni kwa masaa hatimae nafsi imenishinda.
Jana usiku mida ya kama saa 3 hivi nilikua nimekaa nje ya kaduka kamoja hivi, namsubiria dereva wa Bodaboda niliemzoe kukodi...
Jana kulikuwa na ndege ya Precision Air kutoka Johannesburg to Dar es Salaam, ndege ilitakiwa kuondoka saa saba usiku (1am ) lakini haikuondoka mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa JF. Kutokana...
Leo nilikua mwenge mida ya saa tisa jioni nikaingia AZAM wakati napata kinywaji kuna dada mmoja alikua pembeni yangu na cm yake aina ya blackberry asa yule dada akaniuliza jambo baadae tukazoeana...
Mwezi ndo umeisha ivo,kona ya jokes kama kawaida pumba zimeshamiri,nani ameongoza kwa jokes kali?binafsi,japo kwa muda mfupi, Excellent ameongoza.Na nna top ten kichwani pia............
Hotuba ya Jana ya Mh. Dr Jakaya iliweka wazi mambo kibao tuliyodanganywa kwa makusudi na waTz wenzetu, na leo katema cheche juu ya wanunuzi wa korosho! Bravo JK!
Eti na mimi nawasilisha!
Huyu mtoto kanipeperushia ndege wangu bhana.ndege wangu alishaingia tunduni kabisa yeye kaja huko basi kaharibu kila kitu ...na namloga sitaki utaki tena.
na inabidi alipie gharama zote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.