Jamani nimekuwamo humu toka siku nyingi ila nimejiunga hivi karibuni. Huyu dada smile nimempenda saana jinsi anavyochangia mada na jinsi anavyotoa mada mpya. Kwanza, anachangia mada kwa heshima na...
Nafanya mazoezi ya kwaya kwa ajili ya kesho kanisani,Jasho imenitoka,naimba kwa sauti kali,kweli ufalme wa Mungu unahitaji moyo.
hivi nye mmestaafu kwaya?
Jamani kwa nini Wabongo wanachukia maumbile walopewa na Mungu??
Huyu Mbongo sasa hivi ana blonde hair za kizungu kabisa....
Rangi ya mwili wake imegeuka kuwa ya kizungu.....
Chuchu zake...
WHERE WERE YOU, WHEN BROTHERS USED TO WRITE LETTERS WITH DICTIONARIES
If you never received letters like these, you know nothing!
Dear Sugar
Time and ability plus double capacity has...
Hii ndio Simba niliyoanza kuifahamu na kuishabikia,sio ya sas!!!!!!
1;Mohamed Mwameja
2;Often Martin
3;Kasongo Athuman
4;Mtwa Kihwelo
5;Deo Mkuki
6;Twaha Hamidu
7;Mustafa Hoza
8;Fikiri Magoso...
If you work too hard, there is never any time for her.
If you don't work enough, you're a good-for-nothing bum.
If she has a boring repetitive job with low pay, it's exploitation.
If you have...
Majukumu yalibana kidogo, muda wa kuingia JF ukakosekana.
Jumlisha na ile ajali ya mkonga wa mawasiliano kule Mombasa basi ndo visingizio kuzidi. Mtu wenu nimerudi tena, ingawa ushiriki wangu...
Ali kiba ft Lady jaydee - Single Boy new 2012 - YouTube
Huu wimbo ki ukweli ni mzuri Ali Kiba kwa mara nyingine kafanya kazi nzuri akimshirikisha Lady Jay Dee...
TANZANIAN HUSBANDS The SAMBAA Has one Wife Has one girlfriend But he loves his wife the most. The CHAGAA Has one wife Has one girlfriend But he loves his girlfriend the most...
Dereva mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo document...
Kunamsemo unasema "KUWA UYAONE" kweli SIO MAGOROFA...
Nami ndo nayaona sasa, na nadhani msemo huo umeshatimia kwangu,
Huwa nacheka sana nikikumbuka kipindi nilipokuwa kid(mtoto). Kuna...
Umaskini hauna adabu wajameni. Jamaa mmoja na mke wake (bado hawana mtoto) wamepanga chumba kimoja ambacho wamegawa kwa pazia ili kutenganisha sehemu yenye kitanda.. Sasa kuna kipindi walikua na...
Sio jila mchaga lazima awe muuza duka, so usiogope kuitwa mangi.
Usiwe na hasira za mkizi, mvuvi atakufanya dili
Maisha yangekuwa karata, tungekomaa na mchangaji mpaka ajute
Kama wakat aka muda...
mtu anataka:
kuandika barua ya kazi...google
kutoa speech...google
tempelate zoote...google
cv...google
hata naniliuuu...google
co mbaya ni search engine lakini tusilemae sasa!
af...
Kuna kampun imeamua kuanzisha bima ya mke/mme,kwa hyo wale wenye wame au wake wanatakiwa wawekeze ili mmoja wenu akifa au kuachana hii bima ikupe mke/mme mwingine.
Wekeza maisha,wekeza mwenzio.
Yaani sijui ni nini.
Nakaa mchana kutwa najiapiza mi sinywi tena pombe! Nakaaaaaaaaa mpaka saa 12 jioni ghafla kiherehere kinanianza! Kunywa japo bia moja aaaaaah kunywa konyagi! Aaaa basi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.