Salam Wakuu,
Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi.
and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade
Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura
Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
Habari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee.
Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya...
Aziz Ki ashtakiwe na Jamhuri kwa kosa la kujaribu kuua kwa kukusudia siku ile ya Jumapili jioni (murder case)
Shauri linasema kuwa, ndugu Ki Aziz akiwa na akili zake timamu alitumia nguvu...
Hela bwana Shetani sana hahahaah, hivi kuna mtu umewahi kukusanya mchango hata wa msiba tu halafu usichomoe hata 10,000 yaaani lazima itakuja kishawishi tu utachomoa sijui kwanini!
Hivi kuna mtu...
Jf kila mtu Tajiri Hakuna Nyuzi ya Mtu Maskini.
Jf kila mwanaume lazima Anakula Kimasihara Halfu anatumia laki 2 sasa sijui wanaume wajf tofauti na Tunaokutana nao mtaani kutoa Elfu 10 shida.
Jf...
1. Manzese enzi hizo ikijulikana kama mji wa Soweto, tabia zote za kishenzi za wizi, uporaji na umalaya katika maeneo ya uwanja wa fisi, rambo bar n.k.
2. Tandale iliogopeka kwa tabia za ukabaji...
haya sasa wale wadau wa kuforce furaha,njooni tufurahishane na Memes kali kutoka katika machaka mbalimbali, ukiwa na meme yoyote inayofurahisha njoo utupie, ukitaka kuona memes Kali njoo hapa..
Kene unzi huu ukiadika kwa usahihi ndio utaoneka umekotea, na ukiambika kwa makotha ndi umempatiaaa.
Inawedhekana samani yake uthiione, rakini upe nnda, ntu mmoya hutochi kuamua nzuli wake...
Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri...
Mwandani wangu yuko mbali, moja ya kitu nimekumbuka ni kugombana na kubishana. Nawaza nimtafutie chanzo tugombane hata kwa simu kisha baada ya siku 3 nimbembeleze yaishe.
Nimpigie simu usiku...