Yaan kakuchoka au hajawahi kukupenda na aliingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake
Mi naanza na;
1. Kosa dogo tu kakasirika au kudai talaka kabisa.
2.
3.
4.
5.
6.Nakuendelea....
Kupopolewa ruksa...
Mwanaume_ni_nani...!!!?
1 Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!!
2 Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke aliyemfumania kisha akaoa mwanamke aliyeachwa kwa kosa...
Imekuwa kawaida kwa couple mpya kusimuliana mahusiano yao ya zamani ikawa kama ni njia ya kujitetea na kujiweka sehemu salama zaidi kwa kuwaonesha waliokuwa nao ndio wabaya . je hili litasaidia...
Unamwagilia moyo ukiwa wapi?
Na maji yepi/kinywaji kipi? Let it be liquor.
Lite ama Windhoek.
Wine ama beer.
Ngumu ama laini.
Kama kuna namna yeyote wamwagilia moyo share nasi.
Share nasi...
Hakuna kitu kinakera kwenye Maisha kama Kijana kutumia ujuzi mdogo ulionao kwenye Jambo fulani KUTAPELIII vijana wenzako wanaotafuta pesa zao kwa jasho au pengine kupewa na familia zao..!! Kuna...
Miaka ya 80-90 kulikuwa na jamaa mmoja mitaa ya Manzese na Magomeni alikuwa anaitwa Cool 9. Huyu bwana alikuwa ni maarufu sana Dar es salaam na chanzo cha umaarufu wake ni kwamba huyu jamaa...
*Msichana Wa Kizungu Akitaka Penzi Atakutizama Kwa Mahaba, Atakusogelea, Atakukiss Then Atakwambia*
*_"Let's Do It"_*
*Msichana Wa Kiafrika zaidi wa Kitanzania; Akitaka Penzi Atakuuliza*
*_"Sasa...
Habarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single [emoji174]
mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tu
Wanajamvi!
Leo nimelala zangu magetoni mara nasikia mbususu inajiongelesha karibu na dirishani kwangu, tena sauti ya pili iko juu kiasi, nasikia anayoongea side B.
Sasa kituko nikasikia mbususu...
Ndiyo! Unajua nashangaa sana, kuna mabinti ambao wameishia la 7, yupo mmoja namjua, yaani katoka mkoa alikua anauza bar. Ni binti aliyejaliwa kalio kubwa sana, kwa sasa naona maisha yake...
Kwangu mimi jina langu la mwanzo limekosa umaarfufu kabisa, ni jina ambalo lipo kwenye vyeti tu na vitambulisho.
Jina langu la ziada ni la kijijini lakini hili halipo kwenye cheti cha kuzaliwa...
Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi.
Hamna period wala kuzaa yayyy!
Wewe je?
Habari wakuu, kuna mambo mengi sana ambayo nimegundua kuwa si kweli, bali ni uwongo na wanadamu huamini ni ukweli.
1. Jua limesimama wakati linazunguka.
2. Ndege kutumia mafuta: Ndege hutumia...
Hali zanu wakuu? Leo nimekumbuka kitu cha ajabu kidogo, ma Don wengi na mafias wapo Marekani na ni Wamarekani. Kwa kukazia nimemkumbuka General Jonathan ambaye alikuwa ni mafia hatari mno, kwa mke...